Wananchi wafunga barabara Segera!

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
Wakuu,

Kwa habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba wananchi wameifunga barabara ya segera na magari hayatembei kabisa. Kuna foleni ya ajabu.

CHANZO NA TATIZO: Ni kwamba kuna mwekezaji mwarabu, aliyenunua eneo maeneo hayo amevunja vibanda vya kufanyia biashara ndogondogo vya walalahoi (watanzania wavuja jasho)

Tutaendelea kuwajulisha zaidi..............

FOR AND ON BEHALF OF: Melo
 
Last edited:
Solidarity forever! Watu wa njia hii nawafagilia sana. Sio mara yao ya kwanza kufanza mambo haya.
 
Hao wananchi nao .. kuna haja gani ya kuwasumbua wapita njia. Kwa nini wasimshughulikie huyo mwarabu/au viongozi wao moja kwa moja..
 
Hao wananchi nao .. kuna haja gani ya kuwasumbua wapita njia. Kwa nini wasimshughulikie huyo mwarabu/au viongozi wao moja kwa moja..

Ninaamini hii ndio njia pekee ya KUSIKIKA!naona viongozi wamewasahau kabisa.

au niseme wamewaignoa
 
nawafagilia ila mngenikuna zaidi kama mngemkunja huyo aliyebomoa vibanda ili akamlilie aliyemuuzia, Big up sana mvizieni na huyo
 
Solidarity forever! Watu wa njia hii nawafagilia sana. Sio mara yao ya kwanza kufanza mambo haya.
Hakika vileo kila sehemu siku hizi ndio maana kama Wanashindwa kuwaona Wazawa ndio bora kuliko huyu mwekezaji basi, Sheria kila wakati watafanya hivyo
 
Solidarity forever! Watu wa njia hii nawafagilia sana. Sio mara yao ya kwanza kufanza mambo haya.

Nakubaliana na wewe lakini ningependa kuqualify post yako kwa kunyambulisha " solidarity forever, sio kwenye barabara tu tuende hadi kwenye madini, ardhi, misitu, viwanda na kadhalika na isiishie segera bali Watanzania ( wenye unchungu wa kweli na nchi hii) tujenge hiyo solidarity".
 
Kwenye Magazeti ya leo Mh Amos Makalla (CCM secretariat-Treasury) kamjia juu Mzee Warioba aliyeonya juu ya yanayotokea-Leo segera wanamjibu Makalla kile alochosema Warioba.
 
Kwenye Magazeti ya leo Mh Amos Makalla (CCM secretariat-Treasury) kamjia juu Mzee Warioba aliyeonya juu ya yanayotokea-Leo segera wanamjibu Makalla kile alochosema Warioba.

"An invasion of armies can be resisted, but not an idea whose time has come"

Victor Hugo
 
Huko ndo tunakoelekea, maneno ya Mhe. Waryoba tumekuwa tukiyasema hapa siku zote, ila hatuwezi kusikia kwakuwa wanatupuuza.
 
Nakubaliana na wewe lakini ningependa kuqualify post yako kwa kunyambulisha " solidarity forever, sio kwenye barabara tu tuende hadi kwenye madini, ardhi, misitu, viwanda na kadhalika na isiishie segera bali Watanzania ( wenye unchungu wa kweli na nchi hii) tujenge hiyo solidarity".

tatizo la huku ni moja,
hakuna DIRECT IMPACT KWA WALALAHOI(wavuja jasho)!

impact yake ni katika looong term.ukisema mimi na wewe tuipractise SOLIDARITY JUST BECAUSE WE KNOW WHAT IS HAPPENING,NAKUELEWA VIZURI ZAIDI!otherwise will be talking talking talking!
 
okey habari zaidi ni kwamba mpaka muda huu bado suluhu ya ''mgomo huu'' bado haijafahamika!
-wananchi wana hasira kali kuliko maelezo,na serikali haijajitokeza kufanya chochote

-habari zaidi ni kwamba wananchi wamesema hakitanoga kitu MPAKA SERIKALI ITOE TAMKO!

habari zaidi nitawafahamisha wakuu
 
tutafika tu wanapotaka ...wao wanadhani vita inaaanzaje ni kidogo kidogo kuna siku suti zitawabana we ngoja tu
 
tutafika tu wanapotaka ...wao wanadhani vita inaaanzaje ni kidogo kidogo kuna siku suti zitawabana we ngoja tu

well,
nilidhani katika INTELLECTUAL LEVELS TUNGEIMPLEMENT STRATEGIES OF THE LIKE!lakini lol!ninety percent of the jamii subscribers wapo ng'ambo.Though i believe we can do something still
 
well,
nilidhani katika INTELLECTUAL LEVELS TUNGEIMPLEMENT STRATEGIES OF THE LIKE!lakini lol!ninety percent of the jamii subscribers wapo ng'ambo.Though i believe we can do something still
kweli mkuu but hata sisi wachache tuliopo hapa home tunaweza kutekeleza haya...mimi nachoshwa sana na nchi hii jamani ,why kila siku matatizo aklisema Warioba wanaanza oooh hajawai kuisifia serikali ya JK..yaani ni tabu tupu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom