Wananchi waanza kuiogopa Chadema kama ukoma

Loh maajabu hayaishi humu JF; sikujua kama kuna wagonjwa wa akili wengi hivi; mtu anaanzisha tu udaku kwa sababu y chuki. Lakini hii inaonyesha kuwa hao wafuasi na CCM na girlfriend wake CUF wanaiogop kweli Chadema, maana isingekuwa kiboko chao, wala wasingehangaika usiku na mchana kutafuta some lame reasons za kuichafua. Hakika mtahaha maana Chadema ni mbele kwa mbele wakati nyie ni kuloloma na ku-panic kisawa sawa
 
Nasikia Chadema siku hizi inawavuta vijana wa vyuo vikuu kama sumaku!
imekuwa ni kama symbol kwa wanafunzi hasa wanapodai haki zao hawa hestate kutumia kauli mbiu ya cdm. Ninakaa nao wanachuo wa chuo fulani cdm imewafumbua macho kiasi kwamba katiba ya tz imewekwa kwenye softcopy wanaigawa kwa apendae. Anae jilaumu hajui alitakalo na nina wacwac na uwezo wake wa kufikili.
 
Ni habari za kuvunja moyo kabisa baada ya wananchi waliowengi kuonekana kujuta juu ya kuzipeleka kura zao CHADEMA ,baadhi ya wananchi walisikika wakisema hawa CHADEMA hawajatulia na imekuwa boa hawakuukwaa Uraisi kwani nchi ingevurugika kutokana na ubinafsi unaoonekana na ulioonyeshwa katika kupata wabunge wachee au nafasi za wabunge wa dezo,idadi kubwa ya wabunge hao ni ndugu au jamaa au ni marafiki wa karibu na viongozi wakubwa wa Chadema walioegemea ukabila na udini.

Wananchi wengne walikishangaa Chama hicho kisivyokuwa na msimamo kati yao baada ya nusu ya wabunge kuunga mkono ombi lao la kutoka bungeni na wengine kubakia ,Chama kinaonekana hakina msimamo na inaonyesha dhahiri kuna makundi alisikika mkazi mmoja wa ukonga.

Celina Kipasile mkazi wa Ukerewe Mwanza alisema mwanzo alikiamini sana Chadema lakini kutokana na mkorogo ulio ndani ya Chama wananchi wengi walio sehemu za huko wamekatishwa tamaa na hawatorudia kosa,mgogoro mkubwa unaoendelea chini kwa chini ndani ya Chedema umezidi kuwachanganya wananchi na kuona kumbe walikuwa wameegemea mti mkavu.

Wewe ni zuzu usiyejua usemalo, mimi sio mkereketwa bali ni mfirigiswa wa Chadema hata ikibidi kubaki mtu mmoja chadema itakuwa ni mii na hawa wote wanaoponda hoja yako naamini kabisa wamenizidi ufirigiswa. Nyau weeeeeee.
 
Mwibaaaaaaaaaaaaaaaaa! Unapozungumzia wananchi sijui unamaanisha wananchi wa wapi, Kenya au Southern Sudan??? My family have just joined the movement - hapo sijazungumzia work mates wangu na marafiki. Wakati mimi sio hata kiongozi wa shina wa CDM tayari nina JESHI LA KAMA MTU 200. Ikifika 2015 itakuwa sawa na spider web.

CDM ni sawa na Bus la Mkoa abiria hawashuki ovyo hovyo ukiona mtu anashuka Kibaha (kama wewe) wakati Bus linakwenda Bukoba ujue kashikwa tumbo la kuhara maana atachafua hali ya hewa bureeee!
 
WANA JF. NILIWAHI KUANDIKA HAYA MANENO WAKATI TUNAJADILI YULE MAMA RWAKATARE KUMPA TAFU JK. NAOMBA NIWAWEKE TENA PENGINE YANAWEZA KUTUFAA TENA KWA SASA.

(ndugu SN 2139. nashukuru kwa kukubaliana na mimi. Na mimi naona vyovyote iwavyo, mungu asingeruhusu Muhuni yule - ambaye ameasi kumtumikia yeye na kibaya zaidi akasimama hadharani kunadi kutembea na wake za watu - kupewa nchi ambayo kuna ndani yake watu watukufu wanaomtukuza yeye usiku na mchana. Afadhali dhambi ikitendwa kwa siri kwani madhara ni kwa wale watendaji tu. Lakini ikifikia kutangawa hadharani na watu wakaafiki uchafu huo basi nawasubiri laana na mateso yasiyoisha yawakute. Yanayowapata Somalia leo si tunayaona??. Raisi wao kama sikosei Siad Bare alikamata baadhi ya masheikh na kuwapandisha ndani ya ndege kisha kuwarusha chini wakafa wote. mmeona madhara yake hadi leo??.
Ninyi mnakitetea msichokijua bali sisi tunakitetea tukijuacho!! Yapime hayo akilini na au ukipenda yafute wasomaji wasiyaone.
sisi tuko nje tunayaona lakini pia hata walioko ndani wameyaona na ndio maana wanaanza kujitoa mmoja mmoja.)

HEKIMA HUWA HAIPOTEI ILA INACHELEWA KUELEWEKA KWA WALIO WENGI.
 
Ni habari za kuvunja moyo kabisa baada ya wananchi waliowengi kuonekana kujuta juu ya kuzipeleka kura zao CHADEMA ,baadhi ya wananchi walisikika wakisema hawa CHADEMA hawajatulia na imekuwa boa hawakuukwaa Uraisi kwani nchi ingevurugika kutokana na ubinafsi unaoonekana na ulioonyeshwa katika kupata wabunge wachee au nafasi za wabunge wa dezo,idadi kubwa ya wabunge hao ni ndugu au jamaa au ni marafiki wa karibu na viongozi wakubwa wa Chadema walioegemea ukabila na udini.

Wananchi wengne walikishangaa Chama hicho kisivyokuwa na msimamo kati yao baada ya nusu ya wabunge kuunga mkono ombi lao la kutoka bungeni na wengine kubakia ,Chama kinaonekana hakina msimamo na inaonyesha dhahiri kuna makundi alisikika mkazi mmoja wa ukonga.

Celina Kipasile mkazi wa Ukerewe Mwanza alisema mwanzo alikiamini sana Chadema lakini kutokana na mkorogo ulio ndani ya Chama wananchi wengi walio sehemu za huko wamekatishwa tamaa na hawatorudia kosa,mgogoro mkubwa unaoendelea chini kwa chini ndani ya Chedema umezidi kuwachanganya wananchi na kuona kumbe walikuwa wameegemea mti mkavu.

huyu kama sio fisadi basi ana2miwa nao. Jaman wana JF somen nyalama za nyakati ccm haina uhai tena. 2015 ni Dr Slaa kwa 90% majority Vote
 
Jana tumetoa kadi mpya za chadema kijitonyama tukihusisha wanachuo kadhaa pale ustawi, kwa sasa tupo kwenye utaratibu wa kufungua tawi la chadema nyuma ya tume ya sayansi kijitonyama kwahiyo habari zako ni uzushi. Tutatoa mwaliko kwa wana jf kuhudhuria manake atalifungua mh tundu lissu kabla ya mwaka mpya.
 
we Mwiba si ni mujahidin wa Uzanzibari, sasa yanakuhusu nini haya? hebu rudi kwenye ya Pemba huko
 
Unataka chanzo we unaishi dunia gani,yaani una macho na masikio lakini huoni wala husikii ,pole sana ,Haya shee Yaaya kasema Slaa na Kikwete watakuwa marafiki karibuni !!! Au hujasoma ?

hauna lolote wananchi gani unaowasema maana na sisi ni wananchi sasa tunawakilishwa na nani kwenye kauli hizo, sisi chadema poa sana tutazidi kuisapoti kwa hali na mali
 
CDM ni sawa na Bus la Mkoa abiria hawashuki ovyo hovyo ukiona mtu anashuka Kibaha (kama wewe) wakati Bus linakwenda Bukoba ujue kashikwa tumbo la kuhara maana atachafua hali ya hewa bureeee!
pwenti
 
WANA JF. NILIWAHI KUANDIKA HAYA MANENO WAKATI TUNAJADILI YULE MAMA RWAKATARE KUMPA TAFU JK. NAOMBA NIWAWEKE TENA PENGINE YANAWEZA KUTUFAA TENA KWA SASA.

(ndugu SN 2139. nashukuru kwa kukubaliana na mimi. Na mimi naona vyovyote iwavyo, mungu asingeruhusu Muhuni yule - ambaye ameasi kumtumikia yeye na kibaya zaidi akasimama hadharani kunadi kutembea na wake za watu - kupewa nchi ambayo kuna ndani yake watu watukufu wanaomtukuza yeye usiku na mchana. Afadhali dhambi ikitendwa kwa siri kwani madhara ni kwa wale watendaji tu. Lakini ikifikia kutangawa hadharani na watu wakaafiki uchafu huo basi nawasubiri laana na mateso yasiyoisha yawakute. Yanayowapata Somalia leo si tunayaona??. Raisi wao kama sikosei Siad Bare alikamata baadhi ya masheikh na kuwapandisha ndani ya ndege kisha kuwarusha chini wakafa wote. mmeona madhara yake hadi leo??.
Ninyi mnakitetea msichokijua bali sisi tunakitetea tukijuacho!! Yapime hayo akilini na au ukipenda yafute wasomaji wasiyaone.
sisi tuko nje tunayaona lakini pia hata walioko ndani wameyaona na ndio maana wanaanza kujitoa mmoja mmoja.)

HEKIMA HUWA HAIPOTEI ILA INACHELEWA KUELEWEKA KWA WALIO WENGI.
Hapo kwenye Bold, Unaweza kufafanua kidogo juu tendo la mkuu wa nchi kuoa kitoto kidogo kama kile pale Iringa only last yea??
 
Ni habari za kuvunja moyo kabisa baada ya wananchi waliowengi kuonekana kujuta juu ya kuzipeleka kura zao CHADEMA ,baadhi ya wananchi walisikika wakisema hawa CHADEMA hawajatulia na imekuwa boa hawakuukwaa Uraisi kwani nchi ingevurugika kutokana na ubinafsi unaoonekana na ulioonyeshwa katika kupata wabunge wachee au nafasi za wabunge wa dezo,idadi kubwa ya wabunge hao ni ndugu au jamaa au ni marafiki wa karibu na viongozi wakubwa wa Chadema walioegemea ukabila na udini.

Wananchi wengne walikishangaa Chama hicho kisivyokuwa na msimamo kati yao baada ya nusu ya wabunge kuunga mkono ombi lao la kutoka bungeni na wengine kubakia ,Chama kinaonekana hakina msimamo na inaonyesha dhahiri kuna makundi alisikika mkazi mmoja wa ukonga.

Celina Kipasile mkazi wa Ukerewe Mwanza alisema mwanzo alikiamini sana Chadema lakini kutokana na mkorogo ulio ndani ya Chama wananchi wengi walio sehemu za huko wamekatishwa tamaa na hawatorudia kosa,mgogoro mkubwa unaoendelea chini kwa chini ndani ya Chedema umezidi kuwachanganya wananchi na kuona kumbe walikuwa wameegemea mti mkavu.

Wanaoigopa chadema kama ukoma ni wewe na mafisadi wenzio. Usiwasingizie wananchi.
 
Huyu jamaa Hana ushahid harafu anataka watu wenye akili zao wamkubali. Au yeye mwananchi anamwita wananchi!
 
tumekusikia mwiba.
kwa hiyo na mimi napaswa kuiogopa chadema kama ukoma????
nieleze chama ambacho hakina huo ukoma wa kuogopwa
 
Wewe ni zuzu usiyejua usemalo, mimi sio mkereketwa bali ni mfirigiswa wa Chadema hata ikibidi kubaki mtu mmoja chadema itakuwa ni mii na hawa wote wanaoponda hoja yako naamini kabisa wamenizidi ufirigiswa. Nyau weeeeeee.

Kumbe ni "mfirigiswa weye" khatar kubwa!
 
Back
Top Bottom