Wananchi wa jimbo la Mwigulu waisubiri kwa hamu M4C mamia kurudisha kadi za CCM

lake kikonga mayu, mimi ni rafiki yake mkubwa tangu enzi zile namwandikia notes za History Ilboru 1997. Kwa sasa tumetofautiana kiitikadi kwa kuwa mimi ni CDM ila urafiki bado upo, jamaa anawasiwasi sana na M4C. Si kama nazungumza kishabiki huu ni ukweli kwani namfahamu kwa karibu mno. lindila ukimbwela.


uwe umulimba sana lyina lyako kaku zi yani maguu wilimpii na ntondo izi
 
mmhh..... sasa hapa naona wana magamba na magwanda wanbishana pasipo
kuchangia mada husika.
 
Back
Top Bottom