Wananchi wa arumeru kuvamia mashamba ya "singa" leo usiku

nsami

Senior Member
Jun 11, 2010
175
8
Wakuu,

Leo ifikapo saa nane usiku wa manane wananchi wa arumeru wameazimia kuvamia na kugawana eneo moja hapa Arusha maarufu "kama shamba la kwa singa" ni eneo lililo jirani na mji mdogo wa Tengeru. Nimeenda kuliona eneo hilo mara tu baada ya kupata taarifa hizi kutoka kwa mwananchi mmoja aliye katika mkakati huo leo asb, na baadae nikapata uhakika zaidi nilipoongea na baadhi ya wananchi waliosema pia wamejiandaa vyema kutekeleza mkakati huo!

Source: Wananchi wa arumeru!
 
Sasa jf ni polisi?
 
Ya tandahimba sasa arumeru,kachukueni nchi yenu bana,raisi mwenyewe kaenda kumsalimia kocha,twende kazi
 
Sasa jf ni polisi?

Haahaaaaaaaaaa! JF sio polisi ila nimetaka kuwataarifu wenzangu na mimi tusioweza kununua ardhi kutokana na kipato chetu kuwa kidogo pamoja na bidhaa hiyo kuwa ghali especially pande za A-Town ili waje kupata japo kiraka cha ardhi, ila kwenu nyie akina Mkulo na Mponda mnaoweza kukarabati nyumba kwa milioni 480 habari hii yaweza kuwa "the right information to the wrong person"
 
Sasa hii mikakati usingeileta humu mapema polisi watastukia ingetakiwa iwe suprise attack

ni vyema polisi,wanajeshi na vyombo vyote vya usalama vikipata taarifa.kimsingi nguvu ya umma hawezi kuzuiliwa na mtu yoyote.polisi walishindwa kitefu itakuwa hapo tengeru?
 
Sasa hii mikakati usingeileta humu mapema polisi watastukia ingetakiwa iwe suprise attack

Polisi wetu hawana shida wakipata taarifa sasa hivi kama sio za maandamano ya CHADEMA ujue watakuja kesho mchana! Ukizingatia polisi wengi hawana viwanja unaweza ukawakuta wameshapiga kambi huko wakijipimia hatua!
 
Haahaaaaaaaaaa! JF sio polisi ila nimetaka kuwataarifu wenzangu na mimi tusioweza kununua ardhi kutokana na kipato chetu kuwa kidogo pamoja na bidhaa hiyo kuwa ghali especially pande za A-Town ili waje kupata japo kiraka cha ardhi, ila kwenu nyie akina Mkulo na Mponda mnaoweza kukarabati nyumba kwa milioni 480 habari hii yaweza kuwa "the right information to the wrong person"

umejieleza vizuri nia ya taarifa yako, chunga kicheko, kilimponza Le mutuz@dodoma city akakosa ubunge wa east afrika
 
Our time is now people what we need is Tanzania for Tanzanians not Tanzania for interested investors who help us nothing but we help them to be much rechier and we going very much poorer.... Just let them go for their land.
 
sasa kwa nini umekuja kusema kuwaharibio wenzio mipango yao? ungenyamaza ungepungukiwa kitu?

UMECHEMSHA SANA HAPA.
 
Polisi wetu hawana shida wakipata taarifa sasa hivi kama sio za maandamano ya CHADEMA ujue watakuja kesho mchana! Ukizingatia polisi wengi hawana viwanja unaweza ukawakuta wameshapiga kambi huko wakijipimia hatua!

aisee hii baba v nimeipenda sana yaani vasco yuko brazil kumsalimia maximo huku nyuma kila mtu achukue chake
 
Back
Top Bottom