Wananchi tufanye nini kama hatuna imani na Spika wa Bunge?

Fasta fasta

JF-Expert Member
Feb 15, 2011
1,126
725
Jamani wanajf ninaomba niileta hii theory hapa tujadiliane kama linawezekana. Bunge lililopita halikuwa nzuri sana kwa sababu kulikuwa na udikter ndani yake je kama bunge la mwezi wa nne litakuwa kama hili la juzi tufanye nini kwa sababu spika anatupotezea muda kwa maslahi anayoyajua mwenyewe wakati sisi wananchi tunaumia. Tunajua kuna wabunge walikuwa na uchungu sana hasa masuala yanayogusa jamii kwa sasa lakini hawakupewa muda wa kujadili. Tunaomba kama kanuni na sheria za bunge zinaruhusu wananchi kushinikiza kuondolewa kwa spika japo kuwa ni chaguo la wabunge.
 
Back
Top Bottom