Wananchi Mkambarani Moro watakiwa kuhama kumpisha Mwekezaji

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
ITV Habari

Katika hari ya kumkomboa Mtanzania serikali imewataka wananchi wa Mkambarani kuhama na kuwapisha Islamic Foundation Tanzania kwa shughuri mbalimbali za taasisi hiyo. Ukubwa wa eneo hili ni takriban hekari 200.

Kikubwa zaidi wananchi wanadai wapo katika eneo hilo toka mwaka 1979 na wengine wamedai ni bora wafie hapo hapo lakini si kuhamishwa

Haya sasa ngoja wenye maneno yao watatwambia ni haki?
 
Wahariri wa vyombo vya habari, waandishi wa habari ndio watakaoleta machafuko katika nchi hii.

Naiomba serikali ianze mara moja kuwaandikia barua za onyo ili kikichafuka wawe wa kwanza kuburuzwa mahamkamani.
Taarifa hii imepotoshwa sana na ni ya uongo.
 
Eka 200 tu mwao, yatazamwe makanisa yanahodhi eka ngapi za Ardhi Tanzania hii, nakuhakikishia baada ya Serikali wao ndio wanaongoza, na nyingi hawazifanyii chochote, wameziweka tu na hakuna anae wauliza wala kuwasemesha.
 
The great Mwinyi Empire kutoka kuuza Loliondo,Ngorongoro to Mkambarani ,Kuwauzia waarabu huyu mzee kabla ajafa tapata majibu yake kwa dhuluma aliyofanya kwa wananchi maskini wamechoma maboma na nq.ombe wao loliondo wamewamaliza sasa wanataka kuwatumua wana Mkambarani kwa kuwapa ardhi Islamic foundation bure bure bure kwa gharama ya wananchi na alaanike Raisi Mwinyi
 
Eka 200 tu mwao, yatazamwe makanisa yanahodhi eka ngapi za Ardhi Tanzania hii, nakuhakikishia baada ya Serikali wao ndio wanaongoza, na nyingi hawazifanyii chochote, wameziweka tu na hakuna anae wauliza wala kuwasemesha.
Zomba,
For your information hakuna kanisa hata moja ambalo limewahi kuwahamisha raia na kuhodhi ardhi yao. Tanzania tunajidai kuwa tuna ardhi nyingi. Kuna shida gani kuwapatia hao Islamic Foundation eneo la ardhi mbali na makazi ya raia waliendeleze wenyewe? Kwa nini tunawafanya raia wa Tanzania kama watu wasio na thamani yeyote?
 
Wahariri wa vyombo vya habari, waandishi wa habari ndio watakaoleta machafuko katika nchi hii.

Naiomba serikali ianze mara moja kuwaandikia barua za onyo ili kikichafuka wawe wa kwanza kuburuzwa mahamkamani.
Taarifa hii imepotoshwa sana na ni ya uongo.

tuhuma zako ni nzito, hapa jf ni great thinkers , kabla hujafikia kuamrisha wapelekwe mahakamni ni vyema wajulishe members na wadau wengine kivipi ITV ni waongo na utoe uthibitisho si blabla tu
 
Zomba,
For your information hakuna kanisa hata moja ambalo limewahi kuwahamisha raia na kuhodhi ardhi yao. Tanzania tunajidai kuwa tuna ardhi nyingi. Kuna shida gani kuwapatia hao Islamic Foundation eneo la ardhi mbali na makazi ya raia waliendeleze wenyewe? Kwa nini tunawafanya raia wa Tanzania kama watu wasio na thamani yeyote?

Nenda Gehandu kaulize halafu uje kusema hapa.
 
Zomba,
For your information hakuna kanisa hata moja ambalo limewahi kuwahamisha raia na kuhodhi ardhi yao. Tanzania tunajidai kuwa tuna ardhi nyingi. Kuna shida gani kuwapatia hao Islamic Foundation eneo la ardhi mbali na makazi ya raia waliendeleze wenyewe? Kwa nini tunawafanya raia wa Tanzania kama watu wasio na thamani yeyote?

Nawafahamu isalamic foundation sababu nimeshuhudia pia wana mgogoro pale gezaulole wamechukua ardhi kijanjakijanja , kesi ipo mahakamani, dhamira yao ilikuwa kama hiyo ya mkambalani lakini majenga club ya kuuza pombe asiyeamini aende gezaulole atakuta mradi huo.Pia walipitia mgongo wa mwinyi.

Kimsingi hili si suala la waislamu ,bali ni wajanja fulani walikuwa wanahitaji ardhi kwa mgongo wa mwinyi.Mpaka hapa nawasilisha mgogoro huo upo mahakamani na haujapata ufumbuzi ,lakini club ya pombe inaedeshwa.

Je, pombe, club na uislam wapi na wapi? Hata hivyo kama kweli ni waisalam kwa nini waendeshe dhuluma kwa wanyonge? Kuna bado tanzania ina ardhi kubwa, si lazima kufanya dhuluma namna ile.

Pia hapa kuna haja ya kuangalia kisheria namna ardhi hiyo walivyoipata na sheria ya ardhi inasemaje kwa mtu aliyeiendeleza kwa miaka 12 huku watu baada ya miaka 12 ndo wanapewa
 
Wawekezaji gani hao wanaotaka vilivyotayari? Wazee wetu wamehangaika kufyeka pori, kung'oa visiki kwa mikono leo mnataka kuwapa watu fulani ,wapewe mapori wayafyeke na kung'oa visiki ndipo wawekeze na sio mashamba ya wazee wetu .huyo diwani wa ccm hana uzalendo kabisa kama kilivyo chama chake huyo hana tofauti na muuaji mtu anaekunyima kula ni muuaji ." diwani jambo ulilolifanya utalaaniwa ww na kizazi chako chote duniani na mbinguni .MUNGU wetu atawatetea wazee wetu
 
Mkuu Kupelwa
Heshima yako.
Hii ndio kusema Islamic Foundation ni genge la matapeli fulani wanaotaka kubebwa na wakuu Kwa kisingizio cha dini, yao?
Nimewaona wale wazee nikawahurumia mpk nikapata hasira juu ya Islamic foundation Kwa dhuluma Kwa masikini wale wanaotaka kuwatimua bila, ya huruma nikaona ni dini, gani wanaisifu kila cku Kumbe haina tofauti na waarabu waliowatumikisha babu zetu na kuwadhalilisha utumwani.

,
 
Kaulize kulikuwa na mgogoro upi wa ardhi kati ya wananchi na kanisa mwaka 2006/7
So hapo Islamic Foundation wanalipiza kwa kuwadhulumu wazee wale au unatakakusemaje?
Naamini ujaiona taarifa ile kwanza eneo lina mazao na nyumba za mbavu za mbwa (miti na nyasi) wazee wenyewe wanadai wako hapo for 40, yrs
Walipewa na Mkuu wa Mkoa Mzindakaya 70s leo bila huruma kisa umaskini wao mnapeana zawadi Kwa cost ya maisha ya wale maskini watanzania wenzetu mbaya zaidi ni taasisi ya Dini? Mnasaidiwa na rais wa dini Kigezo dini? Ingekuwa dini ile nyingine matamko na maandamano, na nyumba zao za ibada na mali zao zingeteketezwa.
Tena ingekuwa ni awamu ya kwanza au ya tatu ndio imetoa kibali mi cpati picha kingetokea nini?
 
Hakuna aliyedhulumiwa na hakuna Muislaam ataechukuwa ardhi ya mtu kinyume cha sheria. Nna uhakika imeelezwa habari ya upande mmoja kwa makusudi kabisa, ngoja tusikie na ya upande wa pili.

Hiyo post yangu ilikuwa inamjibu Jasusi. Usikurupuke.
 
Mi naona waislam toeni tamko kama kawaida yenu na matamko kuwa Islamic Foundation si taasisi ya kiislamu Kwa sababu Dini ya Subhana haipendi dhuluma kwa mja yeyote
 
Back
Top Bottom