Elections 2010 Wananchi kujitokeza kwenye kampeni za rais kikwete

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu zaidi Kampeni za Rais aliyemaliza muda wake na sasa anaomba ridhaa tena kwa Wananchi wamchague Rais Kikwete nimegundua Asilimi kubwa inayojitokeza kwanza kundi lingine ni wale waliopewa pesa na Kundi linalofuata ni kuwa hawamjui Rais Kikwete kwani ukiangalia utaona watu wanashangaa yaani huyu naye anaomba kura baada ya kustaafu kwa heshima.Hata ukiwauliza wanasema yeye ndo mara ya kwanza kumwona. Mfano. Watu wanoenda kumwona Mtarajiwa Dr. Slaa wanakwenda kusikiliza kazi alizofanya na atakazofanya. Chagua CHADEMA kwa maendeleo ya nchi yako kwani nchi sasa inaliwa na wachache ili tugawane kila mtanzania chagua dr.Slaa
 
True!
Zaidi sana wanaenda kwa ndoto na matumaini kwamba huenda akagawa t-shirt!
Actually ni watu waliokufa moyo, na sura zao zinashuhudia hilo!
 
Kyela%202.jpg
Habari ndio hiyo...
 
Aloyce kimaro, mbunge wa zamani wa vunjo, aliwai kunitonya kuwa, haiwezekani kuitisha mkutano wa ccm ukapata wasikilizaji bila kugawa t shirt, vitenge, na kupeleka magari ya kubeba wagombea
 
Kwa Sababu ilikuwa ni Mazoea kwa CCM kugawa t-shirt na fedha kwa Wahudhuriaji, na kwa sababu watanzania wengi ni Maskini kiasi cha kutokuwa tayari kuzikosa hizo t-shirt, basi ni lazima wajazane kwa Wingi huku wakitaraji baada ya Mkutano kutakuwa na Pilau ( Dina) na t-shirt na kanga ha ha ha Hawafati sera haoo
 
wenye akili timamu hata hawaendi kumwona mgonjwa wa kifafa anaelazimisha kuchaguliwa.
 
Mimi maoni yangu ni kuwa CCM wanajua kuwa bila T-shet, kanga na fedha hakutakuwa na watu. Hivyo wako radhi kuingia gharama kuwabeba kutoka watokako mpaka pale penye kikao ili watakapoiba kura wakashinda waseme "watu walikuwa wengi katika mikutano yetu... oneni". Lakini jana nilikaa kijiweni kwa masaa (kijiwe hicho ni cha washabiki wa CUF) lakini wanamfagilia Dr. Slaa. ila walisema neno moja ambalo linahitaji kufanyiwa Kazi "kama Slaa hashindi mwaka huu, 2015 ni lazima achukue nchi". Maswali yangu yakawa ni .. Kwanini ashindwe mwaka huu? wengine wakasema "Rais ni kila baadsa ya miaka 10! Wengine wizi... Wengine Wapinzani wamegawanyika n.k. Kijana mmoja wa CUF akasema ... CCM hawatujali, badala ya kupunguza kodi kwenye dizeli na mafuta ya taa, wanapunguza kodi kwenye mafuta ya ndege, nani atapanda...? Ni wao wenyewe. Finaly tukakubaliana kuwa Mtanzania yeyote popote alipo, mwenye kadi ya kupiga kura asiangalie chama, angalia mtu mwenye uwezo.

Bado tuna kazi ya kufanya, hata hivyo wananchi wengi wako disatsfied! hiyo ni nguvu kwa Dr. Slaa
 
true!
Zaidi sana wanaenda kwa ndoto na matumaini kwamba huenda akagawa t-shirt!
Actually ni watu waliokufa moyo, na sura zao zinashuhudia hilo!

vilevile msisahau kwamba watu wanaokwenda kuhudhuria mikutano ya jk wengi wao wanabebwa kutoka maeneo mbalimbali kwa malori na magari ya kukodi ili kuongeza idadi ya wasikilizazi. Ccm wanatia huruma
 
vilevile msisahau kwamba watu wanaokwenda kuhudhuria mikutano ya jk wengi wao wanabebwa kutoka maeneo mbalimbali kwa malori na magari ya kukodi ili kuongeza idadi ya wasikilizazi. Ccm wanatia huruma

Niliwahi kusema humu jamvini kuwa ccm haitakufa ghafla kama mgonjwa wa kifafa anavyoanguka bali itaanza kwanza kufifia mioyoni mwa watu. Na sasa kwa kiwango kikubwa imeshafifia mioyoni mwa watu wengi. Na itaendelea kufifia mpaka itatoweka kabisa ikiwa mwana wa mrisho ataendelea kuwa mkuu wa nchi.
 
vilevile msisahau kwamba watu wanaokwenda kuhudhuria mikutano ya jk wengi wao wanabebwa kutoka maeneo mbalimbali kwa malori na magari ya kukodi ili kuongeza idadi ya wasikilizazi. Ccm wanatia huruma

Hiyo ni lugha ya kujiridhisha tu.CCM kwa asilimia kubwa imejipanga vizuri kuanzia maeneo ya vijijini hadi mijini ikilinganishwa na vyama vingine vya siasa.Hivyo,ushindi wa ccm katika kiti cha urais hauna mjadala na kwamba idadi ya watu wanaokwenda kuhudhuria mikutano ya jk wanabebwa na malori kutoka eneo moja hadi jingine siyo kweli. Hakuna chama cha upinzani kitakachoweza kushinda kiti cha urais katika uchaguzi huu wa 2010,na hii ni kutokana na vyama hivyo kushindwa kujipanga vizuri hasa katika maeneo ya vijijini. Nguvu na mbinu zinazotumika sasa na vyama vya upinzani zilipaswa kutumika katika kuvijenga vyama vyao hapo awali, sasa hivi wamechelewa na watakuwa wasindikizaji tu wa ccm. USHAURI WANGU KWA VYAMA VYA UPINZANI NI KWAMBA BAADA YA KUMALIZA KAZI YA KUMSINDIKIZA CCM IKURU KATIKA UCHAGUZI WA 2010, WARUDI NA WAJIPANGE UPYA HASA KATIKA MAENEO YA VIJIJINI,WASIKAE MIJINI KUSUBIRI RUZUKU
 
Jamani Rafiki angu anafuatilia Mikutano ya CHADEMA amesema yaani kila mtu navutiwa achague CHADEMA dr.Slaa sasa Je CCM si wataiba kura tena, Na hawa Polisi wanatakiwa kujiangalia kwanza sio wapo after CHama Fulani ambacho ni tawala wanakosea. Wawe Neutro kwani hiki chama mnachokipinga ipo siku Itashinda je nyie mtaenda wapi?????????
 
Back
Top Bottom