Wanamke wenye matiti makubwa wana mvuto katika mapenzi?

hawa wenye big boobs yaani safi sana.... si unajuaga love play before the game mkuu.... au hii kitu hufanyagi
 
asante kwa kunipa moyo,yan hapa nlikuwa nafikiria nianze dozi ya mchina teh teh!
Halafu kwa jinsi avatar yako ilivyo inaonekana ni yale madodo machanga kabisa, ukichanganya na tabasamu lako miye hoi. Utanisaidiaje angalau rafiki yako wa karibu mwenye sifa kama zako?
 
Yaani Udhaifu Wangu Kwa Mwanamke Uko Kifuan Na bodi
Aiseeee Huwa Navibrate pale Kat Mdada Akiyabinua Yakawa yanachungulia Juu Ya Kitop Mi Hoiiiiiii!
 
Kupenda ni relative kwani kila mtu kuna kitu kinamvutia kwa mwanamke tofauti na mwenzake.Mf. Kuna anayevutiwa na rangi, sura, wembamba, unene, sauti, kichwa, macho, nywele, miguu, makalio n.k list ni ndefu....

Tusijidanganye hatuwezi ku establish standardized qualities za mwanamke tuka agree kuwa hizo ndizo kila mwanaume atapenda. Kama ilivyo hotelini kila mtu anakwenda kula anachopenda miongoni mwa vyakula vingi ndivyo hivyo uzuri wa mwanamke unavyo kuwa na tafsiri tofauti kwa kila men.
 
Hi bro kiiza, ni kwel wanawake wenye matt makubwa kwangu mi nawapenea sana, ila si makubwa kupita kias kwan yakizi pia huchukiza. matt makubwa kias yanavutia hata kwa kuyatazama, pia yana hamasisha mwil wangu kutamani. kwa mi madgo si saana.

ni kweli lakini...but big boobs yanavutia ukiyaona kwa mbali bt ukiwa nayo kitandani ni mzigo tu.:biggrin1:, ni sawa sawa na big booty...ikiwa kwenye nguo inavutia lakini ukiona bila nguo mvutio hauko the same
 
kazi kweli kweli....kila mtu anakile anachopenda kuna wanaopenda matiti makubwa kwa sababu zao wenyewe na kuna wale wnaopenda matiti madogo na wapo wanaopenda matiti ya wastani,,,vivyo hivyo kwa upande wa wakaka kuna wadada wanaopenda dick kubwa, ya kati na ndogo.
 
Kwa ujumla ninayapenda matiti yote tu. Ila ukitaka taarifa zaidi weka picha nikuoneshe ninayoyapenda zaidi.
 
nasikia kuna wengine wanapenda ma-boobs yanayotoa maziwa yakinyonywa teh teh teh
 
katika swala la mapenzi kila mtu ana mapendekezo yake
mm binafsi napenda yawe round,makubwa kiasi,yasio laa na yenye mwonekano mzuri
ukiona mtu ana mpenzi mwenye maTT makubwa basi anaweza akawa amependa hayo maTT au anapenda vitu vingine toka kwake
 
Back
Top Bottom