Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanamke wenye matiti makubwa wana mvuto katika mapenzi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Jul 29, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 9,101
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 83
  Nimekuwa nikiona wanawake wenye matiti makubwa je wanamvuto kwenye mapenzi je watu wao ulidhika na hali waliyo nayo?
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 16,978
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 113
  niliridhika kupita kiasi ....:playball:
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,926
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 48
  Bila shaka wanajipa raha wenyewe!
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 34,291
  Likes Received: 1,548
  Trophy Points: 113
  Ngoja nijifiche hapa pembeni!
   
 5. ikuo

  ikuo Senior Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 8
  Hi bro kiiza, ni kwel wanawake wenye matt makubwa kwangu mi nawapenea sana, ila si makubwa kupita kias kwan yakizi pia huchukiza. matt makubwa kias yanavutia hata kwa kuyatazama, pia yana hamasisha mwil wangu kutamani. kwa mi madgo si saana.
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,039
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 38
  Nipo pamoja nawe...
   
 7. gorgeousmimi

  gorgeousmimi JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 8,707
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 48
  Makubwa kiasi gani unamaanisha wewe cup DD au?
   
 8. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 5,480
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 48
  Habari za J2 wanajamvi, napenda kushiriki nanyi kwenye huu uzi kama ifuatavyo:-

  Kupenda au kutokupenda aina hy ya wanawake inategemea taste ya mtu husika, kama ilivyo kwenye kupenda vitu vingine kama ilivyo mwingine anapenda rangi ya blue zaidi kuliko brown!

  Kwenye mapenzi wapo wanaopenda chuchu saa 6 na yasiwe makubwa lakini wapo wengine wanapenda big titiz kwa sababu tu ndio hukidhi haja ya mioyo yao!

  Kama ilivyo kuna wanaume wanaopenda wanawake mabonge na wengine wanapenda vi-portable.

  Napenda kuhitimisha kwa kusema kuwa kila mtu ana aina ya mwanamke ambaye anampenda vivyo hivyo kwa wanawake.
  lakini majority ya wanaume kwa upande wa titiz wanapenda kitu saa 6. Lkn wanawake wenye big titz walikuja na hy njia na kuinua titiz na kuziweka nje kidogo ili kukabili soko ambalo kwa kina limetekwa na chuchu saa 6!

  J2 Njema!
   
 9. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,353
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 83
  haya sasa,mkianza kutunyanyapaa ndo tutazidi kwenda kwa waçhina!
   
 10. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 3,845
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 48
  i dont c the different,mvuto wa kimapenz unakuja kwa mwanamke unayempenda ki ukweli
   
 11. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,374
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 83
  Umeona eeh! Kuongeza fakeness ili kuwafake fake people!
   
 12. D

  Dine Senior Member

  #12
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 6
  kama ww unapenda madogo na unaridhika tambua na wengine wanapenda makubwa na wanaenjoy sana
   
 13. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,318
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 38
  Inategemea na mpendaji,wengine wanapenda 38d wengine 42dd wengine 36 basi ilimradi raha kwa mchaguaji.
   
 14. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 9,101
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 83
  Maana ya kuwa na mpenzi nikumkubali kwa yale yote mazuri aliyonayo na mapungufu yake lakini kuna baadhi wanakuwa na wapenzi lakini wanawatanguliza mbele hii imekaaje...hasa akiona anamnyonyo wa hatari....My take nikuwa yawezekana wakati anamchukua akuwa hivyo kanyonyesha yamekuwa makubwaa au haya ma medication wanayotumia kujiremba??ndo uwabadili maumbo na baadae kukuta wakiwakwaza wawapendao??
   
 15. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,362
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 63
  Dada wala usiende tupo tunaopenda maembe dodo pekee, matikiti na mafenesi hayapandi.
   
 16. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,424
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 48
  wanamvuto kweli tena wakati wa lady on top watching them jump up ad down raha sana.
  ila kulinga na data zilizokuwepo inaonakana kuwa hawa wanawake wenye matiti makubwa upata matatizo ya mgongo uzee so hivyo uwekake hela kabisa ya matibabu.
   
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 34,291
  Likes Received: 1,548
  Trophy Points: 113
  hahahahahahah
  fear not
   
 18. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,066
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 38
  Si ndio maana mkaapa kwenye SHIDA na RAHA!
   
 19. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 2,875
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 48
  sawa kabisa,kila mtu na taste yake bana.
   
 20. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #20
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,353
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 83
  asante kwa kunipa moyo,yan hapa nlikuwa nafikiria nianze dozi ya mchina teh teh!
   

Share This Page