wanamichezo wenzangu!

mashambani kwao

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
370
56
Wakuu naomba kufahamishwa eneo au mahali gani nitapata vifaa vya michezo kwa mfano vyuma,maana nahitaji kunyanyua vyuma vya uzito mbalimbali, mimi naishi bagamoyo,tafadhali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom