Wanamichezo wa cameroon waingia mitini london rf

Hata bondia wetu nae alishaingia mtini zamani sana......sasa anasikilizia tu!!kutoka kupigana masumbwi kwenda kulea wabibi!chezea OIC ya Tanzania wewe?
 
Hata bondia wetu nae alishaingia mtini zamani sana......sasa anasikilizia tu!!kutoka kupigana masumbwi kwenda kulea wabibi!chezea OIC ya Tanzania wewe?
Hahahhaha! umenichekesha, morali haipo, maandalizi hovyo na wamekutana na vijana damu changa wako highly motivated!
 
Ha ha ha ha ha ha ha nimecheka sana sana leo, looh siku imekuwa tamu, bondia kaingia mitini!? ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom