Wanamagamba na watetezi wao waanza kuchanganyikiwa!

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Wanajamvi:

Yumkini baada ya msururu wa mambo ya hovyo dhidi ya serikali ya chama cha magamba bila majibu, na hoja nzito dhidi yao, wanamagamba wenyewe na/au watetezi wao humu JF wameanza kuchanganyikiwa. Wameanza kuchomekea thread zisizokuwa na kichwa wala miguu, kama vile ile moja inayosema Chadema ziiiiii bungeni

Huko ni kuchanganyikiwa!
 
Wanajamvi:

Yumkini baada ya msururu wa mambo ya hovyo dhidi ya serikali ya chama cha magamba bila majibu, na hoja nzito dhidi yao, wanamagamba wenyewe na/au watetezi wao humu JF wameanza kuchanganyikiwa. Wameanza kuchomekea thread zisizokuwa na kichwa wala miguu, kama vile ile moja inayosema Chademaziiiiiiiiiiiiii!!!

Huko ni kuchanganyikiwa!

Na kweli. Kasi ya puta against magamba isilegee -- uzi uwe ule ule.
 
Kwenye ile barua ya David Jairo kuna sehemu anasema "Kama ilivyo kawaida wakati wa kuwasilisha bajeti...", inaonekana CCM has had a practice of bribing theirs MPs kupitisha bajeti za kijinga ili wakati wao wakinufaika,watanzania tulio wengi tunazidi kutaabika. Enough is enough,let us do all that we can to get them out of power
 
Magamba hali ni tete na sasa kila mbunge anaangalia upande wake ili arudi bungeni 2015.hoja zimewazidi nguvu.
 
Hakuna buyu la pesa kule Uyahudi liliwahi kuning'inia mlangoni miaka 100 .CCM wanajua na siku zote ukweli uko wazi.Now wameona na bado kibano kiko pale pale .
 
Kwenye ile barua ya David Jairo kuna sehemu anasema "Kama ilivyo kawaida wakati wa kuwasilisha bajeti...", inaonekana CCM has had a practice of bribing theirs MPs kupitisha bajeti za kijinga ili wakati wao wakinufaika,watanzania tulio wengi tunazidi kutaabika. Enough is enough,let us do all that we can to get them out of power
Do we need to have these bandits for the remaining period? ie 2015?! Hawa ni wezi we have all the evidences/justifications. TUFANYEJE???!!
 
Kweli bwana walikuja kasi sana hapa katikati lakini tukawa tunawatwanga kwa hoja nzito nzito. hata mheshimiwa Nape naye kapotea kitambo. Unajua kutetea uwongo na kupingana na ukweli ni kazi ngumu sana. Kwa mfano huwezi kumdanganya hata mtoto wa drs la 3 eti 1 + 1 jibu sio mbili hawezi kukuelewa, sasa ndo ndugu zetu magamba wao wanatetea hata uwongo, tukiwaambia umeme uko wapi waishia mitini. Bomu la juzi ndo limewazima kabisa kwishney ushindi unakuja. Wanabaki oh mara jf sijui ni ya CDM kwa taarifa yao sisi humu sisi wengine si chadema ila CCM imetuchosha
 
Do we need to have these bandits for the remaining period? ie 2015?! Hawa ni wezi we have all the evidences/justifications. TUFANYEJE???!!

kimya kimya tuanze na mmoja mmoja mpaka tusafishe kabisa. wapotee kabisa! wote wanaotajwa ama kushabikia ufisadi
 
Wengi walikuwa na bado hawajui hata sasa kwamba ukija JF na upupu wako kuna mahali utafika utakwama .Now hapa imefika mwisho wao ngojea tutabakia wenyewe tu mwisho wa siku wapuuzi wote wataishia .JF si kijiwe hapa ni kukata issues .
 
Kuna k mmoja anaitwa fox simuni leo kabisaaaaaaaaaaaaaa ngoja wasubirie kudaiwa hela walizowezeshwa na nepi kuharibu hali uku jf....unajua mtu akiona anaangamia lazima ajitetee sasa naona wanajitetea kwa kutafuta mlango wa kutokea na bado
magamba kaput. Wanapumulia mashine!
 
Back
Top Bottom