Wanakera sana wanaojifanya watetezi wa haki za watoto....

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Haki ya mtoto iko wapi?
Akikojoa kitandani anachapwa viboko,
ila mtu mzima akitaka kukojoa...anapigwa mabusu, anakumbatiwa na kuambiwa "kojoa dear"
TAFAKARI
ZINGATIA
NA CHUKUA HATUA

"HAKI ELIMU"
 
Back
Top Bottom