WanaJukwaa lengwa! Kuweni waamuzi wazuri! Arusha one + Arushaone!! Tunaelewekaa????

Habari ZENYU ladies and gentlemen! Ngoja nami nishike microphone nikamue. Nilichukua uamuzi wa kuwa member. Nikachagua Arushaone as my ID nikaruhusiwa. Then nikaona jina lako nami nikaweka complain (mods ileteni hapa) ndio nitaendelea.

Mimi nakutambua wewe uliyemkimbiaga Mamdenyi pale fyatanga
 
Last edited by a moderator:
Well said lakini mwisho wa siku nani mwenye kosa?

Ni kweli yupo muda mrefu humu, ila muda mwingi anabaki msomaji. well, la msingi busara tu zitumike kuondoa hizo conflicts
 
ndo maana nikasema maamuzi yatakuwa magumu. Ni kweli Arusha one ndo alianza, alipotelea wapi? huku ndani nani aseme anamjua? kiukweli mimi ndo namwona leo

Jamani mnyonge mnyongeni,
lakini haki yake.....
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na kupotea muda mrefu me mwenyewe wame nichanganya sana mpaka nilipo kwenda kuangalia wote wa me join lini. Pamoja na Arushaone kuwa active lakini kwenye hili
anaweza kushindwa kwa kuzingatia registration.
ndo maana nikasema maamuzi yatakuwa magumu. Ni kweli Arusha one ndo alianza, alipotelea wapi? huku ndani nani aseme anamjua? kiukweli mimi ndo namwona leo
 
Last edited by a moderator:
Sawa kabisa! Jf ndio unatakiwa uiulize kuhusu haki yako!

Despite that I was the last to get in, natoa lawama kwa jf registration people, they didn't let me know that there's another name closely to mine. Uamuzi mnao.
 
hata kama Arushaone ataamua kubadili id, kumbukeni yeye ni member active hivyo kutakuwa na mkanganyiko tutakapomwona Arusha one tunaweza kumtag / comment tukidhani ndiye Arushaone.
ME USHAURI WANGU NI KWAMBA WOTE WABADILI ID ZAO!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Despite that I was the last to get in, natoa lawama kwa jf registration people, they didn't let me know that there's another name closely to mine. Uamuzi mnao.
isiwe tabu wala nini, unaweza badilisha tu kama linaonekana kuchanganya, unaweza tumia Arusha2012 au kama wa Arusha wanakuzingua karibu kwetu Songea, tutakukaribisha kwa mikono yote. si eti mlongo wangu snowhite?
 
Last edited by a moderator:
That nyc ideal mteja wangu!
Hii itasaidia kutoa haki kwa wote japo kisheria Arushaone ana onekana kushindwa!

hata kama Arushaone ataamua kubadili id, kumbukeni yeye ni member active hivyo kutakuwa na mkanganyiko tutakapomwona Arusha one tunaweza kumtag / comment tukidhani ndiye Arushaone.
ME USHAURI WANGU NI KWAMBA WOTE WABADILI ID ZAO!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Namimi naomba kuja songea!

isiwe tabu wala nini, unaweza badilisha tu kama linaonekana kuchanganya, unaweza tumia Arusha2012 au kama wa Arusha wanakuzingua karibu kwetu Songea, tutakukaribisha kwa mikono yote. si eti mlongo wangu snowhite?
 
Last edited by a moderator:
That nyc ideal mteja wangu!
Hii itasaidia kutoa haki kwa wote japo kisheria Arushaone ana onekana kushindwa!

ni kweli kabisa my lawyer Arusha one ana haki lakini pia waangalie ni kwa jinsi gani sisi wanajamvi tutakavyokuwa tunapata tabu. . . Siku Arusha one akianzisha thread tunaweza kuchangia tukidhani ni Arushaone. ama kama kuna wengine wanawasiliana kwa pm., kuna mtu/watu wanaweza kutuma wrong information kwa Arusha one wakidhani ni Arushaone and vise versa!
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=4826685
 
Last edited by a moderator:
Hapo kazi ipo...mi nimeshachanganya mpaka sasa member wa cc ni yupi!!
 
Oooh woow kumbe kwa hiyo we ni shem wangu! Basi na wewe karibu kwetu!

Nshomile unataka kuja songea? karibu sana tena sana kabisa, na mnavyopenda warembo wa huko kwetu? kuna ndugu zangu wengi wameolewa na ndugu zako, lol!
 
Back
Top Bottom