wanajf wa mwanza mpoo???

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
hali zenu wakuu, naomba wanajf wa mwanza mjitokeze kwa wingi.nataka kuwapa offer bab kubwa. ila msizidi kumi. mkifika kumi tu nawapa ofa. c mwajua tena mambo ya mwisho wa mwezi! Come one, come all.....
 
Ahsante,ka vp naomba kampany 2spend kdogo pemben kdogo ya mji hapa isamilo lodge 2le bata ile mbaya
 
Shem,
Namie nitakua nnahusika kwenye ofa hii, kwani mimi ni mkazi wa Mwz! Haya tupe protokali ya hilo jiofa.
Incase nitabahatika kua miongoni mwa hao 10 .

shem we ni mkaz wa mwanza au upo mza, ofa hii itawahusu sana wanajf waliopo mwanza hata km co wakazi. kwa wakaz wa mwanza waliopo nje ya mwanza haitawahusu!
 
shem we ni mkaz wa mwanza au upo mza, ofa hii itawahusu sana wanajf waliopo mwanza hata km co wakazi. kwa wakaz wa mwanza waliopo nje ya mwanza haitawahusu!

Shem, mimi kwa sasa naishi Mwz na ni mkazi wa Mwz, na hata sasa niko Mwz .
 
mhhh! huu upendeleo ila kwa kuwa ukitokea dar lazima wajibukeshi singida wale.naomba kujipendeza rasmin kuwa mmojawapo
 
Dah mi ndio nimeingia jioni hii ila nimechoka sana labda kesho charminglady

52! Hebu punguza mzaha, is't true ? Uko Rock Ciry kweli ?
However here we are in ChtCht , bt in accordance with that agenda nahitaji truth details, coz among the members walioko on my list ya kukutana nao for any price!
Wewe umo .
 
Last edited by a moderator:
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom