EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,483
- 15,308
- Thread starter
- #21
Good points EMT..
Lakini binafsi nadhani kudhibiti tabia za watu itachukua muda na energy ya kutosha kwani watu wanaingia humu kwa malengo mbalimbali..kuna wanaotaka kujua na kujifunza..na kuna wale wanaotaka kumaliza frustrations zao hapa; na pia kuna wale (ashakhum si matusi) wanao balehe..Taabu kweli kweli!
Kutokana na urahisi wa ku-create username..mtu anakurupuka na username just ku-post pumba ambazo yeye binafsi anaamini yuko sahihi na pia lile group lenye frustration kama yeye litaona yupo sahihi na wewe ndio hauko sahihi.
Siku utakapoweza kudhibiti creation za unnecessary usernames ndipo utakuwa umepiga hatua moja mbele..
Tulizo nakubaliana na wewe itachukua muda na energy ya kutosha kudeal na thread za aina hiyo. Hata hivyo nafikiri tusikate tamaa. Taratibu tutajikuta tunasafisha hili jukwaa.