Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,879
- 2,369
Mkuu Saharavoice, unakuja mjini kimywa kimywa tu siku hizi?? hutaki tunywe kahawa one time mkuu??
Anyway, kuna mambo ya kipuuzi sana humu siku hizi...wanaoyafanya mambo hayo ya kipuuzi wanafanya kwa makusudi mazima, ndio purpose yao, kufanya JF ipoteze seriousness ya taarifa zake.
Inasikitisha sana!
Mkuu, wacha nije kimya kimya maana Asprin alishaniwekea mipaka eti mwisho wangu mto ruvu.