Wanajf tafadhali pitia hapa mnipehelp.

baina

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
219
59
Mimi ni mpenzi wa movie, nimedownload movie ambayo ipo zipped and password protected, sina hata hizo password. Naomba msaada ili niweze kupata raha ya movie hii. The name of the movie is ' expendables 2' kwa wanajf kila kitu ndo kwao, hivyo sina shaka ngoja niendelee kusubiri msaada wenu.
 
Rudi uliko download huenda ukapata msaada.
 
Mimi ni mpenzi wa movie, nimedownload movie ambayo ipo zipped and password protected, sina hata hizo password. Naomba msaada ili niweze kupata raha ya movie hii. The name of the movie is ' expendables 2' kwa wanajf kila kitu ndo kwao, hivyo sina shaka ngoja niendelee kusubiri msaada wenu.
Mkuu baina hiyo ni fake torrent Expendable 2 bado haijatoka haijawa released, jifunze jinsi ya kugundua torrents fake hasa kwa movies mpya mpya Kabla huja download any new movie kwenye torrents au popote pale hakikisha una habari za kutosha kuhusu hiyo movie Hakikisha hiyo movie imekuwa released kwenye DVD ndio utapata copy yake kwenye torrents au kwingine Bofya hapa kwa habari zaidi za Expendable 2 The Expendables 2 - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Last edited by a moderator:
mkuu nimekusoma, lakini kuna jambo moja ambalo linanipa shida, hivi hakuna software yoyote ya kutusaidia ku-burst hizi rar, zip na nyingine kama hizi ambazo zinakuwa na password?, maana hizi software za kurecover rar,zip by bruteforce, dictionary naona kama vile hazifai kwani ni time consumer. kama kuna mtu ana alternative way ya kucrack madudu haya naomba anisaidie.
 
Wenyewe wakipin huwezi kutoa mpaka wakupe pass!!!
Yaelekea jamaa kaupload muvi nyingine kabisa ili kuwarusha roho wa2 kama nyie ndo maana kapiga hilo pin ili msigundue janja yake..........krapka davinoooooooooo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom