WanaJF shimo limetema

mkuu TajiriMutoto , 1.7m mbona hivyo ni vijesenti pocket money vya wiki tu, ndio tabu ya kutozoe shika hela!
 
Last edited by a moderator:
mkuu TajiriMutoto , 1.7m mbona hivyo ni vijesenti pocket money vya wiki tu, ndio tabu ya kutozoe shika hela!
 
Last edited by a moderator:
ZINYOOSHE ZOTE, ZI -ROLL HALAFU TUMIA RUBBERBAND!! .... Hapo ndiyo ningekuona Hustler, na ungegundua huna kitu.
thumbnail.aspx
 
Khaaaaaa!!!!!.....ama kweli wewe ni tajirimutoto.......sasa hela gani hizo za kutualika wana jf wote?
 
Bora hizo ndogo 1.7m inaelekea kuliko 100m za Tunduma. We zisikie hivyo hivyo tu! Zina muda wake zile. Kama ni miaka kumi haya, baada ya hapo una-expire!
Sibonike, huo utajiri wa muda ni maarufu sana maeneo ya huko (Tunduma na Mbozi). Ingawa nimesikia kwamba siku hizi hata watu wa maeneo mengine wanaenda huko kutafuta huo utajiri. Kuna jamaa mmoja wa huko aliniambia kwamba mtu akitaka utahiri huo, anaenda kwa mganga na kutimiziwa kila kitu na mganga, lakini kuna sharti moja; nalo ni kwamba, mganga atatoa kuku wake, ambao atamtaka mteja wake ampoe huyo kuku punje za mahindi. Idadi ya punje za mahindi atakazodonoa na kula huyo kuku ndiyo itaonyesha ni kwa muda (miaka) gani utajiri huo utadumu. Na ikumbukwe kwamba, mteja hawezi kumlazimisha kuku huyo adonoe punje nyingi; yaani anaweza akadonoa hata punje 3 na akawa ameshiba n.k.

Hayo ndiyo mambo ya Tunduma na Mbozi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom