Wanajf niokolee ndoa yangu.

emkey

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
728
136
Heshima kwenu, nina mke ambye 2lifunga ndoa agosti 2010, tukiwa ktk tendo la ndoa mwnzangu haisi hamu ya tendo kabsa, na kuhisi maumivu. ila yeye anadai zamani alikuwa akitokewa na jini mahaba ktk ndoto huku wakifanya mapenz na alikuwa akipata raha zote za kike. hv sasa zile ndoto haoti tena yapata mwka wa kumi sasa. kwa kuwa yeye hapati mshawasha wa tendo anadai bora nitafute mwnmke wa nje ili anirishe. naomba mwenye fununu ya tiba anisaidie ili nisimpoteze mke wangu tafadhali. 0714 408238. msaada wandugu.
 
Pole mkuu!
Ngoja waje wataaramu wa mambo hayo wakusaidie,ila pia kawacheki wale ma ustadhi wa tiba za kisuna watakusaidia pia.
 
hilo tatizo limeanza baada ya ndoa?na je wakat wa uchumba ulionja tunda?alijisikiaje....

kuhusu ilo la majini inamaana anataka yamtokee tena au...mpeleke akaombewe kama ana imani.

kuhusu kutafuta mtu wa nje..sijui!
 
Kweli umebanwa,
Waweza jaribu yafuatayo:-
1. Maombi kama ni waamini ili hayo majini yatoke
2. kuwaona wataalamu wa kisaikolojia ili waweze kutambua tatizo la mkeo. Laweza kuwa la kisaikolojia zaidi.
3. Maandalizi yako yaweza kuwa hafifu, humwandai kiasi cha kumfanya apate unachotaka apate. Jaribu tricks tofauti tofauti, shirikiana naye aweze kujitambua wapi panahusu zaidi.
4. Maumbile yako makubwa ukilinganisha na yake kiasi kwambwa hawezi himili, jaribu kuona madaktari.
.
.
.
.
.
.
Ana kidumu:scared:? hakuna, nakudanganya tu:wink2:
 
shikamoooooooooooo wakubwa...maake mambo ya kikubwa haya.
 
Heshima kwenu, nina mke ambye 2lifunga ndoa agosti 2010, tukiwa ktk tendo la ndoa mwnzangu haisi hamu ya tendo kabsa, na kuhisi maumivu. ila yeye anadai zamani alikuwa akitokewa na jini mahaba ktk ndoto huku wakifanya mapenz na alikuwa akipata raha zote za kike. hv sasa zile ndoto haoti tena yapata mwka wa kumi sasa. kwa kuwa yeye hapati mshawasha wa tendo anadai bora nitafute mwnmke wa nje ili anirishe. naomba mwenye fununu ya tiba anisaidie ili nisimpoteze mke wangu tafadhali. 0714 408238. msaada wandugu.

Ukikabidhiwa na tatizo suluhisho lake si kulikimbia bali kukabiliana nalo so wewe ndo unaweza kuinusuru ndoa yako ama kuiteketeza ni vyema ukatafuta suluhisho
 
Mkeo amekeketwa?una uhakika kwamba kila mnaposhirikiana ktk tendo la ndoa anaridhika?unatumia muda gani kumwandaa mkeo?mnaenda 'raundi' ngapi kiasi cha kumtosheleza mkeo?USHAURI:tumia muda usiopungua dk kumi kumwandaa mkeo kabla ya kumwingilia,na wakati wa zoezi la kumwandaa shughulikia maeneo ambayo ya miisho ya fahamu kama kinembe/kisimi,matiti&chuchu,g.spot n.k kila kimoja kwa angalau dk 5 halafu uone kama majimaji hayajaanza kutoka ukeni na uwe una ckilizia kama kuna mabadiliko ktk upumuaji wake!kama haijawa hivyo nenda hosipitali.Huo n mchango wangu kwako w subiria uone wengine watakushauri nn.
 
Mkuu pole sana, mke wako anakabiriwa na matatizo moja kati ya haya:
1. Jini Mahaba
2. Tatizo la kisaikojia

Kama tatizo ni namba 1 tiba yake itategemea imani yako katika maswala ya dini, kama sio mfia dini sana wapo wataalam wa tiba za jadi wao ndio wana nafasi nzuri sana ya kumtibu ili huyu jini mahaba amuache mkeo maana hili jini mahaba linaweza kufikia hatuwa ya kuja kuchukuwa uhai wako ili aendelee kumfaidi mke wako peke yake,

Labda nikuulize tu swali mna mtoto/ watoto? je mke wako aliwahi kupata tatizo la mimba kuharibika?
 
Tuna mtoto 1, tulimpata mtoto huyo baada ya kumalizika kuotaota hizo ndoto za huyo jini mahaba kama 10yrs ago. kwa sasa haoti kwa kuwa aliombewa dua, ambyo imemsaidia hadi leo kutoota tena, kisaikolojia hana tatizo.
 
Namuandaa vzuri sana kwa zaidi ya robo, nikimuuliza wapi nikipashika anapata msisimko, anabaki kunitazama tu kwani ahisi kitu, hata hayo mucus ya ukeni haionekani kutoka.
 
Ukikabidhiwa na tatizo suluhisho lake si kulikimbia bali kukabiliana nalo so wewe ndo unaweza kuinusuru ndoa yako ama kuiteketeza ni vyema ukatafuta suluhisho

Sijalikimbia tatizo, ndo maana kwa heshima yenu nawaomba tujuzane labda kuna m1 we2 alishawahi kukutwa na tatizo kama hili au alishalickia na kama ni effects za huyo jini, basi anijuze.
 
Tuna mtoto 1, tulimpata mtoto huyo baada ya kumalizika kuotaota hizo ndoto za huyo jini mahaba kama 10yrs ago. kwa sasa haoti kwa kuwa aliombewa dua, ambyo imemsaidia hadi leo kutoota tena, kisaikolojia hana tatizo.
Bado hilo jini mahaba lipo na hata kama halimuingilii lakini ndilo linalokufitinisha na mke wako, pls cheki na wataalam wa hayo mambo watakusaidia, ninafahamu fika ninachokushauri maana ulivyosikiaga kua uyaone, siyo magorofa.
 
Nakushukuru mkuu kwa ushauri wako, ila tatizo kumpata huyo mtaalamu wa tiba.
 
Pole sana kaka.

Mungu Mkubwa kila kitu kitakuwa safi. Sina utaalam na tatizo kama hilo ila nishiriki nawe katika hili:

Mke wangu alikuwa na jini mahaba hata kabla sijamuoa na akaombewa akawa fresh. Tuna watoto wawili sasa lakini miezi nane iliyopita tulikuwa na matatizo yanatuandama ndani ya familia yaani magonjwa na mambo mengi lakini sio ugomvi wala sex. Ilibidi tuende kwa mchungaji kupata maombi. Mchungaji aliniita pembeni akaniambia mke wako akikaa home anajisikia kujirusha toka ghorofani, pia akivuka barabara anatamani asimame katikati agongwe na gari. Zamani alikuwa ana jini mahaba na anamtaka akaishi nae kuzimu. Ila alisema yaani nyinyi Mungu amewapigania sana. Baada ya kuombewa peace kabisa.

Ushauri wangu uende kwa daktari lakini pia endeleeni katika mombi.
 
Mkuu pole sana, mke wako anakabiriwa na matatizo moja kati ya haya:
1. Jini Mahaba
2. Tatizo la kisaikojia

Kama tatizo ni namba 1 tiba yake itategemea imani yako katika maswala ya dini, kama sio mfia dini sana wapo wataalam wa tiba za jadi wao ndio wana nafasi nzuri sana ya kumtibu ili huyu jini mahaba amuache mkeo maana hili jini mahaba linaweza kufikia hatuwa ya kuja kuchukuwa uhai wako ili aendelee kumfaidi mke wako peke yake,

Labda nikuulize tu swali mna mtoto/ watoto? je mke wako aliwahi kupata tatizo la mimba kuharibika?

Tuna mtoto 1, zamani alikuwa hashiki ujauzito, ila baadae baada ya dua akapata ujauzito.
 
Nakushukuru mkuu kwa ushauri wako, ila tatizo kumpata huyo mtaalamu wa tiba.
Yule Sheikh RIP pamoja na usanii wake wote lakini matatizo kama haya yeye ndio alikuwa bingwa wa kuyatatuwa, sasa sina hakika kama huyu mwanaye aliyerithi mikoba ya baba yake kama ana uwezo kama wa baba yake, ningekushauri ucheki nae, hilo tatizo ni very serious hutokaa kwa amani na mke wako kama hamtalitafutia tiba.
 
Heshima kwenu, nina mke ambye 2lifunga ndoa agosti 2010, tukiwa ktk tendo la ndoa mwnzangu haisi hamu ya tendo kabsa, na kuhisi maumivu. ila yeye anadai zamani alikuwa akitokewa na jini mahaba ktk ndoto huku wakifanya mapenz na alikuwa akipata raha zote za kike. hv sasa zile ndoto haoti tena yapata mwka wa kumi sasa. kwa kuwa yeye hapati mshawasha wa tendo anadai bora nitafute mwnmke wa nje ili anirishe. naomba mwenye fununu ya tiba anisaidie ili nisimpoteze mke wangu tafadhali. 0714 408238. msaada wandugu.

Kipipi na Neema mpo?
 
Back
Top Bottom