LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
WanaJF! Ndg zangu kwa wenye uzoefu ktk ma2mizi ya gas. Kwanza utazikuta ktk ujazo tofauti kt ya kg 15 ikiwa ni mtungi mkubwa,kg 8 hii ikiwa ni mtungi mdogo. Yote haya ni ktk kampuni yote hizo tatu tajwa hapo juu,Cha kunishangaza ni ktk matumizi mwezi wa kwanza nili2mia ya Manji's na nikatumia ktk mwezi na wiki 2,mwezi wa pili nikachukua ya ORYX ile kg 15 sawa na ile ya kwnz ya Manji's lakini ma2mizi ya hii ya ORYX ikawa imekwisha kabla ya hata mwezi kufika na ma2mizi ni kama ile ya Manji's. Jamani kama kuna anayejua uchakachuaji uliopo ndani ya hz mitungi a2juze kwn wengine 2taisha. NAWASILISHA WANAJF!