WanaJF! KWANI VYOMBO VYA HABARI ZINAKUWA HIVI

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Baada ya Marekani kutangaza kwamba majasusi wao wamemaliza kazi yao walio2mwa na Rais wao Obama kwa kumwondoa kwenye uso wa sayari hii yenye kila aina ya raha na mateso,Hakika haijapita hata masaa manne baada ya kutokea vyombo vya hbr wengine wakisema alikufa tangu majuzi wengine wakisema siyo yeye wengine wakisema hawezi kuuwawa kirahisi namna hiyo na wengine wakipinga kwa jinsi mlivyowasikia WanaJF na mimi ki2 kinachoniboa ni kwanini wakatae ingali alikuwa akiwindwa namna ile? Ama wamesahau aliyoyatenda huyo Dicteta asiye na huruma hata kidogo?? Ameshapoteza maisha ya ndg wengi sana mashariki hadi kusini,Halafu leo kuuwawa kwake vipingamizi inakuwa kibao. Je? Ni kwanini lakini? Kwangu mi imeniboa sana wa2 wakubali tu kufa kwa Osama Bin Laden m2 mwenye roho kama ya Farao.
 
Back
Top Bottom