WanaJF! Huyu Ndg yuko wapi? Leonard Mambombotela alisadikiwa niwakwe2 hp TZ.

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,216
Ndg zangu! Huyu ndg kwa wenye kumbukumbu kama mimi namkumbuka alikuwa ni mtangazaji mzuri sn wa radio ya jirani ze2 Kenya ila kuna taarifa ya kwamba alikuwa ni Mwene2 mzawa wa hapa Tanzania,KWA WANAOMJUA VEMA WA2JUZE ALIPO HUYU NDG. Twendeni pamoja jama!
 
Ndg zangu! Huyu ndg kwa wenye kumbukumbu kama mimi namkumbuka alikuwa ni mtangazaji mzuri sn wa radio ya jirani ze2 Kenya ila kuna taarifa ya kwamba alikuwa ni Mwene2 mzawa wa hapa Tanzania,KWA WANAOMJUA VEMA WA2JUZE ALIPO HUYU NDG. Twendeni pamoja jama!

Bado anafanya kazi KBC na yupo Nairobi. Kipindi chake cha "Huu ni Uungwana" bado anakiendeleza. Japo sina uhakika ila inasemekana ni mdigo.
 
Huyu mzee mbona yupo pale KBC. Hata leo niliangalia kile kipindi chake cha JEE HUU NI UUNGWANA. Ila amezeeka sana.
 
Ni Mdigo wa Mombasa. Great grandson wa Mbotela aliyeandika kitabu "Uhuru wa Watumwa."
 
bado anafanya kazi kbc na yupo nairobi. Kipindi chake cha "huu ni uungwana" bado anakiendeleza. Japo sina uhakika ila inasemekana ni mdigo.

nimemwona kwenye citizen tv juzi anatangaza kipindi hichohicho cha mambo ya uungwana,
 
Dah! Namkumbuka sana KBC kupitia kipindi chake cha Je huu ni uungwana? Nakumbuka mabingwa wa salamu kama Surambili Kiango Momanyi. KBC walikuwa na kipindi kikijulikana kama "Salamu za majeshi" bado kipo waungwana? Sijaisikiliza KBC kwa miaka mingi.
 
DUUU mnanikumbushaaa mbaliii, nashanga enzi zile kulikua na radia bendi 2 ama 3 , (277) ya mbao inashika afrika mashariki yoote , siku hizi radio ukubwa wa umbo tu, lkn haishiki huko kote. :dance:
 
Jama kuna mshikaji mmoja(mtanasharti) Anasema ni Mambombotela ni mmoja wa wanafamilia,ila nitaifuatilia kwa karibu then niwajuza WanaJF
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom