WanaJF! Huyu Ndg kafikishwaga wapi? Yupo kweli ulimwengu huu wa ADAMU NA EVA????

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
JUSTIN KASUSURA,aliyekuwa akiandikwa sn na vyanzo vya habari. Lkn takrban miaka miwili cjawahi kumsikia hata yale madola ($) ya wizi cjajuaga imemfikisha wapi. Awmayeju.
 
mie hata simfahamu huyo kasusura, ebu nipe lecture ndo nan tena huyo?
 
alipo hukumiwa aliangusha bonge la kicheko mahakamani. Hakika aliacha gumzo
 
Inawezekana bado yupo jela au wamemmtoa wakamwambia afunge mdomo baada ya kuwagawia na wao $
 
Alikuwa mjanja **** kwani alikuwa mlinzi ktk kampuni moja na ndiyo akakwanjua hiyo regan yapata BILIONI 350 kw cash ya TZ.
 
Mke wake akafariki jamaa akiwa magereza, eti akaomba ruhusa akazike askari magereza wakamwambia hakuna hiyo ukitoka utaenda oneshwa kaburi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom