WanaJF! hii ndoto sijui kama itakuwa ya kweli! Acha niseme!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Usiku wa leo niliota ndoto yenye msimamo ktk njozi yangu!

Nimeota hivi kwa jinsi nilivyoota ni kwamba mtandao huu wa JF utakuja kuwa mtandao wenye nguvu katika nyanja zote zinazolenga mambo ya habari hapa Nchini.

Utakuwa na warusha matangazo wazuri na watakaoaminika kwa Wanainchi wote hapa Nchini na utakuwa na Members wanaopenda sana ktk ushirikiano wetu wa kila wasaa!
Hiyo ndiyo niliyokutana nayo ktk njozi yangu usiku wa leo kuamkia tar. 13/04/2012

Na kama kuna mwingine aliye na yake aangushe hapa wadau waseme yao!

Habari ndio hiyo Wadau!
 
Mbona tayari huu mtandao ni mkubwa na unafahamika zaidi Tanzania na nje ya Nchi.

Mtandao una waandishi wa habari waliobobea katika kutafuta habari ambazo hata vyombo vingine vya habari havijazipata(Breaking News).

Hapa kuna habari mpya ambayo utaiona jioni ktk TV au kusikia katika Taarifa ya Habari, au kuna taarifa zingine ambazo zinagusa maslahi ya viongozi wa kitaifa huwezi kuzisikia katika vyombo vya habari vingine lakini hapa JF utazipata LIVE, sisi tunairusha muda huo huo wakati wa tukio.

Mfano:
(1) Siku ya mauaji kule Songea.
(2) Matukio ya vurugu ya Wamachinga Mbeya Mjini.
(3) Ufunguzi wa Soko la Tunduma Mbeya.
(4) Taarifa ya kutaka kufungiwa kwa Gazeti la Tanzania Daima
(5) Nk. Nk. nk. nk. nk.

HIVYO JF TUPO JUU ZAIDI NA WENGINE WANAFUATIA CHINI YETU...



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
...ndoto yako imethibitisha ukweli uliopo. Kwa sababu haiitaji "unabii" wa TBJ kuyajua haya.
 
umeota nini sasa? hapo ni ubongo wako tu ulkua unaitafakari JF wala si ndoto hiyo
hebu lala tena uote
 
humu huitaji bahasha km PASCO upate habari,
muhimu usisahau kuichangia JF.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom