WanaJF! Hebu 2ipe mtazamo hili jina "IKIWAKA MULIKA IKIZIMA PAPASA G.HOUSE",,,,

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Nilianza safari ya kuelekea Morogoro kwa safari niliyopata ghafla na nilifika hapa Hedaru nikaona nitie nanga early morning nidamke . Sasa Best niliyemkuta pale kama mwenyeji akanipeleka kwenye nyumba ya wageni yenye maneno haya IKIWAKA MULIKA IKIZIMA PAPASA GEST HOUSE ndg zangu mi sijaongea na huyo mshikaji wala wa mapokezi nikapiga kimya,Na ndiyo nikasema niwajuze WanaJF km kuna aliyewahi kuingiaga hapa na anipe mawili matatu km ipo. Nimewakilisha tu!
 
kama nimeelewa vizuri HEDARU ni sehemu inayosifika kwa ukahaba kutokana na magari mengi ya mizigo kusimama pale, so read btwn the lines
 
Kuna rafiki wangu mkubwa amefikia anga hii akitokea Iringa na lori aina ya Scania 124G na akakubwa na janga la kufunguliwa chumba na kuibiwa pale guest tajwa hapo juu!

Na ndipo nikakumbuka maneno tajwa katika Guest yenyewe!

Ama kweli maneno nyingine ukikuta mtu ameandika itabidi uifanyie kazi kbl ya.
 
Nilianza safari ya kuelekea Morogoro kwa safari niliyopata ghafla na nilifika hapa Hedaru nikaona nitie nanga early morning nidamke . Sasa Best niliyemkuta pale kama mwenyeji akanipeleka kwenye nyumba ya wageni yenye maneno haya IKIWAKA MULIKA IKIZIMA PAPASA GEST HOUSE ndg zangu mi sijaongea na huyo mshikaji wala wa mapokezi nikapiga kimya,Na ndiyo nikasema niwajuze WanaJF km kuna aliyewahi kuingiaga hapa na anipe mawili matatu km ipo. Nimewakilisha tu!

.
Mmh, hiyo guest lazima itakuwa ya mswahili wa pwani.
.
 
Back
Top Bottom