Elections 2010 Wanajeshi kutoonekana kuanzia 28 Oktoba?

Wadau, hivi Askari wa JWTZ na Polisi wataruhusiwa kupiga kura kweli siku hiyo? Na kama ni haki yao kikatiba, utaratibu gani utafanyika ili wapige kura? Maana Polisi watakuwa mitaani na kwenye vituo kwa ulinzi na JWTZ huenda wakawa makambini siku hiyo sasa watapigia wapi kura zao? Au kuwa Mwanajeshi ama Polisi basi kura yako ndo harijojo?
 
Back
Top Bottom