Wanajeshi Arusha wafanya ukatili wa kutisha

Tutumie fact...
:Kama walimbaka wasingempiga

:Walishindwa kumbaka ndio maana wakampiga

:Kama walimbaka basi walifanikiwa baada ya kumpiga

:Neema ni binti shujaa
Period
Yaani kweli huu msemo wa adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake ameutimiza bila aibu.
 
Nashindwa kuelewa slogan ya JF inayosema Great Thinkers. Yaani asilimia 90 wana comment kuonyesha ni kweli 100% kama kina Nifah nk. Wengi humu ni makanjanja tu, no great thinker.
Hivi mwanajeshi anaweza kumpiga hadi kumjeruhi mwanamke kiasi hicho!?
Hivi kweli wangeshindwaje kumbaka
mwanamke. Nadhani wangetaka kufanya hivyo huyo mwanamke asingeweza hata kupiga kelele maana hiyo sauti isingetoka.

Akili yangu imeshindwa kuamini hii taarifa. Otherwise nipate kwenye vyanzo vya uhakika zaidi. Sio hapa waliponiaminisha kuwa Lowasa Kashinda
Wewe ndio limbukeni wa mwisho usingetakiwa kupinga wala kukubali kama yeyote ni kanjanja kwako.
 
Hilo jambo linawezekana kabisa. Either Wamembaka baada ya Kumpiga au Walimpiga baada ya kukataliwa kupewa vitu hayo yote ni makosa makubwa kabisa ambayo hayatakiwi kufumbiwa macho na lazima wachukuliwe hatua za kisheria.

Jeshi letu la Tanzania haliko friendly to Citizens. Mindset zao ni mbovu kabisa na wanajiweka kuwa wako above the law. Mwanajeshi ukimbishia hata kama ni haki yako basi watakuchangia kukupiga hadharani. Haya mambo tunaona kila mara. Utakuta gari za jesho au Polisi ndio zakwanza kuvunja sheria barabarani pasipo kuwa na emergency yoyote. So are they above the law?? Na utaona hakuna mtu anayezungumza, si vyombo vya habari wala Social media hazi condemn upuuzi huu. Tuko very quite ni kama tumeridhika. Huu ni ujinga wetu watanzania. Media zetu kazi kuandika umbeya tu na kubobea kwenye siasa. Hazina mchango wowote katika kuleta mwamko na mwelekeo wa sheria nchini.

Ukiharibikiwa na gari yako barabarani mbele ya kambi ya Jeshi basi watakuja kukutisha na kukudhalilisha hata kama uko na familia yako. Badala ya wao kukupa msaada au kukusogeza sehemu ambayo utapata msaada. Jeshi kazi yake kulinda na kuhudumia Raia wakati wa matatizo, maafa na kulinda usalama. Wananchi hawapaswi kuogopa Jeshi. Mungu aepushe mbali nchi yetu ikitokea mapinduzi ya Serikali Jeshi ndio litakuwa la kwanza kuhujumu watu na kubaka watoto wakike na kuvunja nyumba za watu.

Jeshi latakiwa kuwa wapole kwa Raia. Na endapo watafanya kitu tofauti na maadili ya Jeshi hatua zichukuliwe papo hapo. Lazima tu adopt utilization of law like developed countries. There is no one ABOVE the law. Time imefika kwa Watanzania kujua haki zetu.

Msichana Neema ni Shujaa na amedhulumiwa haki zake za msingi nchini mwake. Lazima apewe support na hili jambo lifikishwe kileleni mwa sheria.
Unatokwaje povu lote hilo kwa habari ya kimbea kama hiyo..... ni udaku tu huo, labda tupate source aminika.
 
Unatokwaje povu lote hilo kwa habari ya kimbea kama hiyo..... ni udaku tu huo, labda tupate source aminika.
Udaku au sio udaku, hoja ninayozyngumza iko pale pale. Hakuna mtanzania anayeishi Tanzania atakayekataa hiyo hoja. Tanzania LAWS are made for Citizens only but Government Insitutions are all ABOVE the law. That is undeniable truth.
 
Tutumie fact...
:Kama walimbaka wasingempiga

:Walishindwa kumbaka ndio maana wakampiga

:Kama walimbaka basi walifanikiwa baada ya kumpiga

:Neema ni binti shujaa
Period
Kubakwa ni ushujaa!!!.....kabla ya kukimbilia kuhukumu...tunawakumbusha jifunzeni kusikiliza upande wa pili kwanza
 
Tutumie fact...
:Kama walimbaka wasingempiga

:Walishindwa kumbaka ndio maana wakampiga

:Kama walimbaka basi walifanikiwa baada ya kumpiga

:Neema ni binti shujaa
Period
sikusudii kuwatetea wanajeshi hao lakini pia ni ngumu kuiamini story ya kutaka kubakwa,kama wangedhamiria kufanya hivyo sidhani kama angekuwa na ubavu wa kuwazuia,unless atuambie kuwa hawakuwa wanajeshi.Pia si vyema kuconclude kwa kutumia story ya upande mmoja.
Ila yote kwa yote kitendo cha kumpiga hakikuwa cha kiungwana.
 
Kwako Neema,wewe ni shujaa.
Maumivu hayo uliyoyapata kwa kipigo yana mwisho,ila endapo ungekubali kufanyiwa walichokitaka hakika maumivu na kovu lake lisingefutika moyoni mwako milele.
Hongera
Acheni majungu tuma akili yako kipigo na kubakwa vipi?watanzania achen uchonganishi
 
Mmmh sasa ile kambi yenye wanajeshi zaidi ya mia tano wote walishindwa kumshika kikamilifu?

Duh huyu dada ni komando wa misumari kabisa
Bosi pale sio kambini ni chanzo cha maji yao na raia pia. Kwa kifupi ni chanzo cha mto Themi. Pale wanakaa askari wachache hata kumi hawafiki, labda watano kwa mara moja
 
Hivi wanaume uwaga hatubakwi!??wanawake plz naomba kubakwa hata Mara moja tu plzzzzz!!
 
Wangekuwa mabint zenu wamekuja na majeraha namna hii nyumbani mngeweza kusema mnachokisema hapa?.

Kama angekuwa dada yako ungezungumza hivyo???

Angekuwa binti yako,angekuwa dada yako katika mijadala kama hii hutakiwi kuhusisha undugu ni dhahiri kwamba nduguyo akija hvyo utalaumu mpaka yesu arudi na kama unaweza kulipa kisasi utafanya hivyo hutajali kama alikuwa na kosa au la.

Mf mzuri ni kiongozi atumbuliwe na mkulu kwa kosa linaloonekana bila kificho hivi unahisi familia na ndugu zake watafurahia? Jibu ni hapana

Point yangu ni kwamba matukio haya hatutakiwi kuyajadili kiundugu ndugu.

Kama tutaweza kupata maelezo ya pande zote mbili ndo tutapata conclusion nzuri.

Tumekuwa tukishadadia na kuhukumu bila kuwa na maelezo ya upande mmoja recall mwanafunzi wa mbeya

Nashindwa kuelewa slogan ya JF inayosema Great Thinkers. Yaani asilimia 90 wana comment kuonyesha ni kweli 100% kama kina Nifah nk. Wengi humu ni makanjanja tu, no great thinker.
Hivi mwanajeshi anaweza kumpiga hadi kumjeruhi mwanamke kiasi hicho!?
Hivi kweli wangeshindwaje kumbaka
mwanamke. Nadhani wangetaka kufanya hivyo huyo mwanamke asingeweza hata kupiga kelele maana hiyo sauti isingetoka.

Akili yangu imeshindwa kuamini hii taarifa. Otherwise nipate kwenye vyanzo vya uhakika zaidi. Sio hapa waliponiaminisha kuwa Lowasa Kashinda

Nahisi lowasa kuna kitu alikupachika m****ni ndo maana lazima umtaje kila muda
 
b2f8fcf98196c4db65ae4d942c9e22ec.jpg
 
Angekuwa binti yako,angekuwa dada yako katika mijadala kama hii hutakiwi kuhusisha undugu ni dhahiri kwamba nduguyo akija hvyo utalaumu mpaka yesu arudi na kama unaweza kulipa kisasi utafanya hivyo hutajali kama alikuwa na kosa au la.

Mf mzuri ni kiongozi atumbuliwe na mkulu kwa kosa linaloonekana bila kificho hivi unahisi familia na ndugu zake watafurahia? Jibu ni hapana

Point yangu ni kwamba matukio haya hatutakiwi kuyajadili kiundugu ndugu.

Kama tutaweza kupata maelezo ya pande zote mbili ndo tutapata conclusion nzuri.

Tumekuwa tukishadadia na kuhukumu bila kuwa na maelezo ya upande mmoja recall mwanafunzi wa mbeya

Nahisi lowasa kuna kitu alikupachika m****ni ndo maana lazima umtaje kila muda
Unajua Bongo haya matukio ya sex abuse na rape yanatokea sana lakini watu wanashindwa kufikisha mashitaka katika vyombo vya dola kwa sababu hayapewi kipaumbale na uzito wowote kwenye jamii. Hilo unakubaliana na mimi au hapana??

Jambo la pili unaona vyombo vyetu vya dola vinatii sheria au la??

Jambo la tatu, huyo dada Neema adanganye kufanyiwa hivyo kwa malipo gani anayotarajia kulipwa kwa uongo huo au kwa madhumuni gani?? Kabla hujasema muongo lazima utazame motive ya uongo wake. Kama huoni motive basi hakuna cha uongo. Hayo mambo kina dada zetu wanafanyiwa kila leo.
 
Tutumie fact...
:Kama walimbaka wasingempiga

:Walishindwa kumbaka ndio maana wakampiga

:Kama walimbaka basi walifanikiwa baada ya kumpiga

:Neema ni binti shujaa
Period
Afadhal ww unareason kwenye kutoa hoja zako coz ck hz humu ndan weng wanatumia mijinguvu kwa kila kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom