Wanajamvi

KARIBU SARAFINAAA :popcorn::popcorn::popcorn::popcorn:
 

Attachments

  • sarafina.jpg
    sarafina.jpg
    2.6 KB · Views: 28
  • SARAFINA 1.jpg
    SARAFINA 1.jpg
    5.4 KB · Views: 30
Habari zenu wanajamvi, ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya.

Leo ni mara yangu ya kwanza kujiunga na jamii forums ila nimekuwa msomaji wa muda mrefu sana na nimejikuta nikivutiwa kujiunga. Navutiwa sana nanyi wote wana jamvi kwani pamoja na mikwaruzano ya hapa na pale, huwa nafurahia mtu anapokuja na tatizo anapewa moyo sana na mwisho anajikuta tatizo lake limeisha na anakua na amani tele.

Shukrani kwa wote ninyi nitakaowasahau naomba mnisamehe ila nawapenda wote:
Aspirin, Rose 1980, Dena Amsi, Lizzy, Uprotocol, Darck City, Klorokwini, Susy, Wiselady, Mwanajamii 1, Bubu ataka kusema, The Finest, Teamo, Tausi mzalendo, woman of substance, pakajimy, Fidel, Acid, Afrodenzi, Preta, kibiritingoma, Askofu, Mzee Mwanakijiji, Kimey, Shantel, Kaizer, LD, Mbu, Mpendwa, Kakakiiza, gaga, St. RR, St. Paka mweusi, Miss Judith, Maria roza, husninyo, Mamushka, Chauro, Nyamayao, Genekai Keren-Happuch, Lily Flower, Chetuntu, Wit, Mwita Maranya, Firstlady 1, na wote niliowasahau nawapenda sana

duh nimesahaulika!well karibu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom