Wanajamii kulikoni Celebrities wa Majuu mnawataja tu wa Norh America na Ulaya

Inanambo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
3,985
2,770
mimi ni mpenzi wa tamthilia za Amerika ya Kusini(LATIN AMERICA). Kule kuna warembo wengi tu na wanaume wao. lakini kila nikisoma habari za warembo kwenye blogs, forum hawatajwi. hawa kina Natalia steignard(Babarita, MariaTeresa), Mario Cimarro, Nina Conde, na wengineo hawajulikana au hawana mvuto? kila mara nasoma tu habari za Paris Hilton, Kardishiana, Angelina Jolie. kulikoni hao wa Sauzi America? Sijamsahau yule Mbrazili halfcaste anayeitwa Preta kwa jina la Kisanii mbona wao hawatajwi.
 
Back
Top Bottom