Wanajamii forum !

Tukutane vijampora guest house kwa mnyamani manzese room no 59..
 
Tukutane Mbande kwenye njiapanda ya kwenda Kongwa. Pale unapata mbuzi mzima hata kwa buku tatu tu.

pale kwenye nyama chafu??? ukifika angalia miguu kabla ya kuanza kula yale mapande, hukawii kukuta mbwa
 
watu wako huru kwasababu ya veil ya anonymity, tukisha-lift hii veil uhuru utapungua kiasi fulani halafu kutakuwa hakuna tofauti na social network nyingine. Ikiwa umedhamiria haswa kuwafahamu baadhi (na imani huhitaji kumfahamu kila mtu) wa-pm na utafute wasaaa wa kuwaona.
 
pale kwenye nyama chafu??? ukifika angalia miguu kabla ya kuanza kula yale mapande, hukawii kukuta mbwa

Pale hata Slaa mwenyewe alikuwa hakosi kuhudhuria wakati akiwa mbunge. Hao mbwa huwa unawaletaga wewe?
 
bonde kubwa lile ndugu, be spesifiki.
Kule Kigogo Mburahati, hapa Jangwani au kule Salendar Bridge kwenye mikoko?

Salender bridge ndio bomba ili 2kiona pananuka sana 2naunganisha kwenda NUNGWI.
 
Tukutane Sun Dance, kisongo Arusha, tupate nyama ya swala, nyumbu na sungura plus a glass of Grants.
 
Asanteni kwa michango yenu lakini naona labda wazo langu hamkulipenda.
 
I see mpaka sina mwaliko, ukinialika ntakuja faster!! Lat, Husninyo, mbona hatukaribishani? lol!
 
Back
Top Bottom