Wanaigunga: Sema HAPANA kwa KAFUMU/CCM

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Mlichagua, mkadharaulika. Siasa uchwara kutoka katika chama uchwara zimewaumiza. Kura yako kesho ndio faraja ama mateso kwako ndani ya miaka mitano ijayo. Kila la heri, wapiga kura wa igunga. Ombi langu: Sema NO kwa KAFUMU. Na NO KWA CCM
 
Unganisheni mambo ya Igunga jamani tupate pa kumumulia kila mara tread mpya na Igunga why ?
 
Back
Top Bottom