Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 159
Kwa wale msio kwenye system..viongozi kibao sikuizi wanaongea kwa mafumbo kwenye simu...zinasikilizwa! Watanzania hatujui privacy ni nini tcra wanatuambia tukaregister sim card..kuna thread nilianzisha watu wamechunia..ukweli ndo huo..ata ulaya its not a must to register a sim card!! Kuna mambo yanafanyika na haki zetu kuvunjwa sisi tunabaki kubishana juu ya nia za Mwanakijiji...
Nani huwa anarekodi hiyo makitu?Mengi nini??Hilo la mafumbo hata mie nimelisikia sasa na hawapokei kabisa simu ambazo hawazijui..Yote haya yanasababishwa na Mengi..
Anawafuata fuata sana watu wa Jedwali la RA