Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,602
- 5,569
Vema sana M. M.It is too late now but not too late enough.. kama uko kwenye mapambano dhidi ya ufisadi na hauko tayari kusalimu amri, nakushauri kuachilia namba za simu za Vodacom ASAP. As a matter of fact, hamia "kwingine" within the next 72 hours (beginning Monday). Do it or be ready to live with the consequences.
Nilikuwepo.
M.M.
NILIYAELEZEA HAYA WAKATI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI LAKINI SIKUELEWEKA! LAKINI BADO NITAENDELEA kusema nao kwa mithali...:smile-big: