zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
Msiwakandamize madaktari eti kisa wapo kwenye sekta muhimu na kuwaacha watu walosimama mbele ya kadamnasi tena kwa kiburi kabisa na kusema liwalo na liwe kwa vile tu wao hawatoathirika na huo mgomo!! Wagonjwa hawajaanza kufa kwenye mgomo tu, wengi wamefia njiani kwa kukosa facilities zikiwemo ambulance na barabara kuwa mbovu ilihali hao hao wanahusika na huduma za wananchi wao wanaongezewa posho! Wengi wamekufa kwa kukosa madawa hospitalini na vifaa vya kitabibu huku bajeti za kwenda kutibu viongozi nje zikiongezeka.......mbona hayo hamuyaoni?? Ndo kusema ni halali mwananchi kufa kwa kiburi cha serikali? Acheni masikhara.......
Jaribu kufananisha kabla hajaja Kikwete ilikuwaje na toka ujio wa Kikwete tukoja. Halafu ndio uanze kulaumu, bila hilo hutotenda haki.