Wanaharakati UDSM wapiga kambi utawala.

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Wanaharakati wa UDSM wamepiga kambi nje ya jengo la utawala wakishinikiza kujua hatma ya wanafunzi 22 waliosimamishwa masomo.
Kama inavyokuwa rev. square, wanazungumza kwa sauti kuambia watawala walio ndani ya jengo...
Good move though!
 
''Wanaharakati'' ni pana sana...........narrow it down to wanaharakati wa msimu/maslahi/posho/ mikopo wa UDSM...........................
 
''Wanaharakati'' ni pana sana...........narrow it down to wanaharakati wa msimu/maslahi/posho/ mikopo wa UDSM...........................

sijawafahamu hawa, ila nadhani wako real!
Sasa hivi wako rev square kwa ajili ya kupeana modality zaidi...
More updates to come!
 
Vipi tayari wameshamaliza kuandaa kozi weki.

obiviously!
State University si mchezo ati? Maraia wake wanaweza kuhimili multi-tasks bila mashida yoyote.
Sawasawa?
 
FFU soon na wenyewe wanakuja kupiga kambi hapohapo

ulikuwa ni uwasilishwaji wa waraka mfupi kwa uongozi wa chuo, tena kwa njia ya amani.
FFU wangekuwa ingekuwa ni vurugu za makusudi sasa...
 
obiviously!
State University si mchezo ati? Maraia wake wanaweza kuhimili multi-tasks bila mashida yoyote.
Sawasawa?

mult-tasks za kuandamana kwa sababu za kijinga. Shame on them.
 
mult-tasks za kuandamana kwa sababu za kijinga. Shame on them.

narudia tena...
Kuna mtu anakula kisamvu wewe mtoto!
Tutrace back origin ya ongoing chaos halafu tuone kama ni maandamano ya kijinga?
Narudia tena, si bure wewe.
Kuna mtu anakuvunja duka!
 
Kozi weki wanaandaa wao ama walimu wao? Acha vijana wafanye mambo ya level yao banaa. Tena enzi sile mkigoma mkafukuzwa raha kweli, those were the days bana! I wish ningekua na wakumgomea leo!
Vipi tayari wameshamaliza kuandaa kozi weki.
 
narudia tena...
Kuna mtu anakula kisamvu wewe mtoto!
Tutrace back origin ya ongoing chaos halafu tuone kama ni maandamano ya kijinga?
Narudia tena, si bure wewe.
Kuna mtu anakuvunja duka!

masikini fidodido!
Nilijua tu mitusi yake ingemponza... Akatukanie huko jela sasa.
Kumbaff...
 
Back
Top Bottom