Wanaharakati kuandamana kupinga maamuzi ya Bunge kuhusu Richmond

2ew1eer.jpg
 
hatua inayochukuliwa na wanaharakati sio mabaya nawaunga mkono ikizingitiwa kwamba ni haki yao ya kikatiba, pia ni changamoto kwa azaki nyinginezo kufuata mfano ,nawapongeza sana wanaharakati angalau sasa nafurahi kwamba kuna watu wanafuatilia mustakabali wa nchi yao.
 
Kama wanaharakati wangekuwa ni chama cha siasa ningewaunga mkono wao kuliko huu utititiri wa NGO zilizojificha kama ni vyama vya siasa.

Kubadili chama/serikali iliyokomaa madarakani kwa miaka kibao hakuwezi kuletwa na helikopta au vijizawadi vya mashabiki waliojificha UK.

Mabadiliko yatawezekana tu kama viongozi wa vyama upinzani wataachana na tabia ya kupaa tu na ndege na kushuka ardhini ili kuwaunganisha wananchi kwa maandamano, migomo n.k. ili kupinga maonevu, ufisadi n.k. vinavyowakabili.

Hivi sasa inaelekea hakuna kiongozi mwenye ubavu na nia ya kuyafanya hayo na ndio maana tunabaki kupiga kelele tu kwenye hizi keyboards zetu.
 
Wanaharakati na vyama vya upinzani vinaonekana at least vinasema tatizo vinakutana na watu wasiopenda mabadiliko ma anti changes kama wewe.
 
Back
Top Bottom