Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,731
- 749
Hongera chadema kwa kuwapiga waandishi wa habari.
peopleees power.
Tume ya katiba waandishi wenu wa ccm tutaendelea kuwaadabisha!
Hongera chadema kwa kuwapiga waandishi wa habari.
peopleees power.
Nchi yetu ni ya amani, CDM mnashabikia vurugu
ivi unaelewa maana ya amani?Nchi yetu ni ya amani, CDM mnashabikia vurugu
Nchi yetu ni ya amani, CDM mnashabikia vurugu
Wanahabari wa Sumbawanga waliojipambanua dhahiri kama makada na washabiki wakubwa wa ccm leo wamepata kichapo na zomea zomea ya nguvu ya umma pale mahakama ilipotengua ubunge wa bw aeshi. Kadhia hiyo ilijitokeza kwa bw Sami Juma Kisika ambaye ni repoter wa RFA Rukwa, afisa uhusiano wa Manispaa Ya Sumbawanga na katibu wa klabu ya waandishi wa habari Rukwa na pia bw Musa Hassan mwangoka mwandishi wa gazeti la mwanachi na katibu msaidizi wa kalabu ya waandishi wa habari Rukwa.
Wanahabari wa Sumbawanga waliojipambanua dhahiri kama makada na washabiki wakubwa wa ccm leo wamepata kichapo na zomea zomea ya nguvu ya umma pale mahakama ilipotengua ubunge wa bw aeshi. Kadhia hiyo ilijitokeza kwa bw Sami Juma Kisika ambaye ni repoter wa RFA Rukwa, afisa uhusiano wa Manispaa Ya Sumbawanga na katibu wa klabu ya waandishi wa habari Rukwa na pia bw Musa Hassan mwangoka mwandishi wa gazeti la mwanachi na katibu msaidizi wa kalabu ya waandishi wa habari Rukwa.
Waandishi hao walionekana kushabikia dhahiri ccm na bw Aeshi kwani walishashindwa kuripoti lolote tangu kesi hiyo ifunguliwe mwaka juzi sababu kubwa ni kuogopa kumdharirisha mpendwa wao bw Aeshi, lakini leo wakati wa hukumu walifika mahakamani huku wakijua fika mpendwa wao bw Aeshi ataibuka kidedea kwa bahati mbaya mategemeo yakawa tofauti kabisa na hivyo mara tu baada mahakama kuu kumvua ubunge bw Aeshi hasira za mashabiki zikawageukia wao kwa kuwazomea na kuanza kuwapa kichapo bahati yao wanausalama wakawakoa.
Kwa sasa bw Sami Juma kisika ni mjumbe wa baraza la uvccm na amekuwa akionesha upendeleo wa wazi kwa ccm kwa kuwa na interest na ccm hali ambayo kwa wanasumbawanga wamekuwa wakikeleka kwa hilo kwani zaidi ya afisa uhusiano wa manispaa pia ni msimamizi mkuu wa Sumbawanga Tv sasa jamaa ni bias sana huwa habalance stori na kila mara Sumbawanga Tv ni ccm tu.
Wakuu kama wapo watu wenye tabia kama hawa waandishi njaa au uchwara ni vema wakajipambanua wakawa kwenye vyombo vya vyama husika na si vyombo vya umma kama TBC kwani nguvu ya umma inakuja kwa kasi sana
Muongo mkubwa! amani tangu lini?Nchi yetu ni ya amani, CDM mnashabikia vurugu
Mara zote yanapotokea kama haya huwa ninatoa mfano wa kisa cha "mwenye busara aliyeibiwa nguo mtoni na chizi. Mwenye busara akatoka mtoni uchi na kumfukza chizi hadi kijijini kufuatilia nguo zake". Busara za CDM au yeyote mwenye tabia kama hizi zitakuwa ziko wapi ikiwa wataanza kumpa kichapo kila anayeshabikia CCM au asiyeshabikia CDM?Waandishi hao walionekana kushabikia dhahiri ccm na bw Aeshi kwani walishashindwa kuripoti lolote tangu kesi hiyo ifunguliwe mwaka juzi sababu kubwa ni kuogopa kumdharirisha mpendwa wao bw Aeshi, lakini leo wakati wa hukumu walifika mahakamani huku wakijua fika mpendwa wao bw Aeshi ataibuka kidedea kwa bahati mbaya mategemeo yakawa tofauti kabisa na hivyo mara tu baada mahakama kuu kumvua ubunge bw Aeshi hasira za mashabiki zikawageukia wao kwa kuwazomea na kuanza kuwapa kichapo bahati yao wanausalama wakawakoa.
Vipi wa Tbc hakuwepo?
Wangewachinja na kuwaulia mbali hao waandishi wa habari-ccm.
Tatizo busara ilishapotea toka kwa wale wanaotumia rasilimali za umma kwa ajili ya manufaa ya chama kimoja kilichopo madarakani, hebu anza kuwambia hao kwanza watumie busara. Mfano ni pale ccm wanaponyang'anya viwanja tulivyojenga kwa nguvu ya wananchi wote eti leo viwanja vyote vya ccm utadhani vilijengwa na ada zilizokusanywa na ccm. huo ni mfano tuMara zote yanapotokea kama haya huwa ninatoa mfano wa kisa cha "mwenye busara aliyeibiwa nguo mtoni na chizi. Mwenye busara akatoka mtoni uchi na kumfukza chizi hadi kijijini kufuatilia nguo zake". Busara za CDM au yeyote mwenye tabia kama hizi zitakuwa ziko wapi ikiwa wataanza kumpa kichapo kila anayeshabikia CCM au asiyeshabikia CDM?
Kwa njia za kistaarabu tunaweza kuwazomea na hata kuwasusia, lakini hilo la kutembeza kichapo...ningewashauri viongozi wote wa vyama na washabiki wao wasilipalilie wala wasilishangilie sana. Tunaloliona dogo na la kufurahisha leo, kesho linaweza kuwa kubwa na la kuliza.
Ni mawazo yangu tu, kwa sauti kubwa.
Bado na weweHongera chadema kwa kuwapiga waandishi wa habari.
peopleees power.
si ustaarabu kuwatakia wenzio kifo