Wanahabari naomba ufafanuzi ktk jambo hili

EL MAGNIFICAL

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
938
125
kwanza nitangulize pongezi kwa kutuhabarisha kwa mengi yanayokuwa yanaendelea hapa ulimwenguni.
Hongeleni kwa hilo.....!
Swali langu ni kwanini habari zinazowahusu wanamichezo ambazo si za kimichezo mfano kifo na kesi huwa mnatuhabarisha ktk taarifa za michezo !
Kwanini huwa haziwekwi kwenye habari za kitaifa tu !
Kuna uhusiano gani wa taarifa izo na michezo ile hali si mchezo na wakati mwingine ni za kusikitisha !
Nitangulize shukurani zangu za dhati kwa utayeshiriki.
 
Wasubiri PASCO,Byabato,Katulanda,halihalisi nk miongoni mwa waandishi ninaowajua humu JF
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom