Wanahabari Iringa na maandamano

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Sep 7, 2011
3,295
2,500
Nina hamu ya kujua kama waandishi wa Iringa wataenda kutoa taarifa ya maandamano yao kwa RPC ambaye wamemsusia kufanya naye kazi kwa namna yoyote. Au wataamua kutokuandamana au watakuwa ngangari na kuingia mtaani bila kuiarifu polisi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom