Wanafunzi zaidi ya 50 UDSM wafukuzwa moja kwa moja!

Kugoma sio shida na ni rahisi. Lakini mwisho wa siku lazima tujiulize(kama kundi na kwa mtu binasfi),baada ya kugoma umepata nini na umepoteza nini. Tukipata majibu, tutajua uamuzi sahihi wa jinsi ya kushughulikia matatizo yetu.LAKINI pia tukiamua kugoma tugome kweli.Siku hizi UDSM hakuna mgomo(huwezi kugoma bila kujipanga na ku-define malengo ya mgomo).Migomo ilikuwa zamani na sio siku hizi.Mfano.Unapogoma na unawakataza/kuwazuia/kuwasumbua wanafunzi wa post-graduate hasa ambao wako mabibo hostel kwenye vyumba vyao unakuwa unamanisha nini?Je mabibo ndio kwenye boom, je mabibo ndo level square?Mi hii migomo ya siku hizi inaniboa sana japo na mi mhusika.
 
sijui wametumia akili gani kuwafukuza kwa ninavyoelewa polisi huwa wanakamata yeyote aliyekaribu yao iwe amehusika au hakuhusika, ni bora wangefukuza chuo kizima
 
mkuu hili suala ni toka juzi na watu walishatupia sana humu kwaiyo mimi nilichokifanya nikutoa update ya leo.. wakati tamko la VC lajuzi baada yakugoma na kuzuia UTAWALA alitoa tamko lakuwarudisha wale 35 na kuwasuspend wale 8, vijana walizidi kushinikiza mgomo wakitaka hata wale 8 warudi.. ilivyofika saa mbili usiku VC akatoa tamko lakurudisha hata wale 8, kumbe ilikuwa changa la macho akitafuta pakutokea na USIKU wa jana ndo inatoka sad newz kama nilivyopost..na sijarudia kuhusu mgomo maana ni mgomo wa tar 11/11 nikiamini kila mmoja anajua juu ya wale waliokamatwa na tatizo lilikuwa ni nini(KUTETEA WATOTO MASKINI 1st WALIOSHINDWA KUENDELEA NA MASOMO KWASABABU YA "NO LOAN" wakati mke wa LIZIWAN KIKWETE akiwa na 100% UDOM) mgomo ulikuwa wa amani kabisa sema ndo vile

mke wa Riziwan yupi anayesomeshwa Udom?. Hebu tuwekee data hapa.
 
sijui wametumia akili gani kuwafukuza kwa ninavyoelewa polisi huwa wanakamata yeyote aliyekaribu yao iwe amehusika au hakuhusika, ni bora wangefukuza chuo kizima

halafu hakuna uhusiano kati ya kukamatwa na charges against.
Unaweza kufungua mashtaka wakati mtu hunae, as long as ordeum ya mahakama itamfikia.
Kingine, kama waliofanya mgomo ni wengine, kulikuwa na haja gani ya kufukuza chuo wale 35 ambao wana kesi mahakamani, ilhali uamuzi juu yao walishautoa kuwa wamewasimamisha kwa miezi 9?
Inabidi mtu auwawe, I mean atolewe uhai, yaani roho na uwiliwili vitenganishwe, ndio wajue mtoto wa mkulima ni nani,
anyone who knows yanakopatikana yale maLTK sijui mapollonium?
 
Inasikitisha sana ndio maana watu kumbe wanajitoa muanga ,mtu unachukua jukumu la kumuharibia mtu maisha yake :hatari:
 
Inasikitisha sana ndio maana watu kumbe wanajitoa muanga ,mtu unachukua jukumu la kumuharibia mtu maisha yake :hatari:

I'm on my way.
Namfikiria kijana kama Ndunguru, alitoa speech ya uchungu sana, mpaka nikalia mtu mzima, akasema atakaa na njaa pale utawala mpaka haki yake ipatikane, au afe. Ninachojiuliza, kijana kama yule akipata bunduki au guruneti ni nini kitatokea.
Nimeuliza anaeweza kunipatia Pollonium 200 na ngapi sijui, nahitaji kutekeleza wajibu wangu kama mtoto wa mkulima wa jembe la mkono v/s mstaafu wa shirika la umma.
 
udsm acheni ujinga ingiene barabarani tena masaa 72 yafike yani siku tatu ili mfukuzwe wote hapo maamuzi yatabadilika na kuwaangalia kwa jicho pevu.
 
udsm acheni ujinga ingiene barabarani tena masaa 72 yafike yani siku tatu ili mfukuzwe wote hapo maamuzi yatabadilika na kuwaangalia kwa jicho pevu.

nani amfunge paka kengele.
Ukikusanyika na watu 3+ inahesabika un'kusanyika bila iqbal.
Tupe ushauri mkuu!
 
ngoja tuvute kasi,maana police kila baada ya dakikaka tatu wanapita lecture rooms,yaan sasa hivi chuo kinalindwa kama ikuru...sijui huu utaritibu umeanzaje..nani kabuni mbinu hii chafu.lazima tufukuzwe wote!
 
:lol:Mnagoma bila madai ya mcngi...... nyinyi n wanafunz wa wa chuo kikuu kweli?
chuo ni sehemu ya kusoma sio migomo ico ya mcngi!!!!!!
HONGERA SANA Prf. MKANDALA kwa maamuzi mazito. TUNAHITAJI VIJANA WASOME NA SIO SIASA,
HILI LIWE FUNDISHO MKIENDELEA CHUO KIZIMA KITAFUNGWA.............:A S 465:
 
Kwa historia migomo ilikuwepo toka enzi za mwalimu nyerere na haki chuo kikuu haipatikani bila migomo tuna experience ukitaka ujue wanafunzi wanapogoma pesa inapatikana huwa inakuwa wapi?Watu wanatumia pesa za wanafunzi kufungua fixed account kwa muda fulani ili kupata faida wengine wanafanyia busness za muda mfupi kwa hiyo swala la migomo ni ngumu kuzuia na watu wajue kuwa hii nchi watu wanafanya kazi kwa kutekeleza agizo la mkubwa flani mzee wa nchi alizomewa live akiwa na Museveni alipoenda kupewa phd yake ya heshima pale Mlimani kwa hiyo ana hasira na hiki chuo kama amri yake akifute kabisa maana siku ile ilikuwa aibu tupu.Kusema watu wanagoma bila madai ya msingi unakosea hawa siyo machizi ni watu wenye akili kwa hiyo inachotakiwa utawala wa nchi kutafuta chanzo cha tatizo na siyo kutumia nguvu kani9 mwanafunzi ukitumia nguvu ni kama unaweka petrol kwenye moto what I know na kutumia police siyo suruhisho la tatizo ni kufanya tatizo kuwa kubwa ambalo hata watawala linaweza kuwacost bila kujuwa.
 
Wadau kuna magari kama 7 Defender na maji ya kuwasha ya FFU hv nimekutana nayo Jangwani na tetesi zinasema wanalekea UDSM kiwewaka!:A S 465:
 
mke wa Riziwan yupi anayesomeshwa Udom?. Hebu tuwekee data hapa.

Kati ya watu wapuuzi wewe namba moja unataka kutafuniwa kila kitu? Yupo Udom huyo binti na amepata loan 100% nenda kamuulize Prof Mlacha ndio ana data zake
 
Poleni sana vijana kwa hayo yanayowakuta lakn haya mambo yana mwisho wake hakika
 
:lol:Mnagoma bila madai ya mcngi...... nyinyi n wanafunz wa wa chuo kikuu kweli?
chuo ni sehemu ya kusoma sio migomo ico ya mcngi!!!!!!
HONGERA SANA Prf. MKANDALA kwa maamuzi mazito. TUNAHITAJI VIJANA WASOME NA SIO SIASA,
HILI LIWE FUNDISHO MKIENDELEA CHUO KIZIMA KITAFUNGWA.............:A S 465:

mawazo yako niya wafu tu.
 
Bravo Comrade bila Kunji la maana kama zile za 1990s hakuna kitakachoeleweka! Wako wapi akina Harun Kiamaro, Matiko Matare na Mutungirehi wa enzi hizi jamani!??!

I remember mgomo wa 2000 vyuo vilishirikiana vyote (vingi) na mafanikio yakaonekana. Lakini waliposimamishwa viongozi wengine walijitolea (Zitto et. el) kuongoza mgomo. LAkini leo inaonekana Viongozi wakiwa suspended waliobaki ni class/maktaba!!!!!!!
 
Back
Top Bottom