Calnde
JF-Expert Member
- Oct 7, 2008
- 1,373
- 277
My take
Kwa hali ilovyo hali haiwezi kuwa shwari kwa migomo hii. Solution ya kwanza ni kwa wale wenye kesi. Hawa wamefukuzwa solely because wanakesi. Ni kweli sheria za chuo zinasema hivyo lakini ni dhahiri zinapingana na katiba ya nchi. Kwa sababu chuo tayari kimewahukumu hata kabla ya kuhukumiwa. Ina maana wakionekana hawana hatia watakuwa wameadhibiwa pasipo na kosa. Hivyo, Daruso itafute wanasheria, preferably LHRC where they provide legal Aid. Hapa they can pray for injunction from high court ambapo decision ya chuo itawekwa pembeni mpaka hapo kesi yao itakapoisha. Naamini mahakama zetu zipo huru na hazitaingiliwa katika hili. Kwa kuwa sababu zipo wazi, jambo hili huwa halichukui muda na wanafunzi hao watarudi kusoma kama kawaida. Mgomo mwingine wowote utapelekea wengi zaidi kukamatwa na hii haitawa saidia wanafunzi hawa. Tukumbuke maamuzi ya kesheria yanapingwa kisheria. Dowans mpaka leo tumepiga kelele na maandamano lakini maamuzi ya mahakama kuu yanasimama. Lazima sheria itumike kutatua matatizo yatokanayo na maamuzi ya kisheria.