Wanafunzi zaidi ya 50 UDSM wafukuzwa moja kwa moja!

binafsi nawaunga mkono vijana kwa kugoma,kikubwa kama haki yako hupati,idai tena kwa njia zako zote ikiwezekana ombeni msaada hada kwa jwtz,liwasaidie!
 
Kuna thread imeandikwa hata jana iliyokuwa na kichwa "nguvu ya umma ya shinda". Inazungumza tofauti kabisa na hii stori. Sasa sijui ukweli ni upi. Na kama kuna uongo, ni kwasababu gani? Tena kwa wasomi!?

Ngachoka kapsaa!

mkuu nimekujibu hapo tayari pitia comentz hapo utapata jibu
 
Hata mie naona hapa jf panataka kuwa kama facebook,jana uzi wa kwanza ulikuwa wamekinukisha,baadaye nguvu ya umma imeshinda sasa hivi tena sad news!?!

mkuu hili suala ni toka juzi na watu walishatupia sana humu kwaiyo mimi nilichokifanya nikutoa update ya leo.. wakati tamko la VC lajuzi baada yakugoma na kuzuia UTAWALA alitoa tamko lakuwarudisha wale 35 na kuwasuspend wale 8, vijana walizidi kushinikiza mgomo wakitaka hata wale 8 warudi.. ilivyofika saa mbili usiku VC akatoa tamko lakurudisha hata wale 8, kumbe ilikuwa changa la macho akitafuta pakutokea na USIKU wa jana ndo inatoka sad newz kama nilivyopost..na sijarudia kuhusu mgomo maana ni mgomo wa tar 11/11 nikiamini kila mmoja anajua juu ya wale waliokamatwa na tatizo lilikuwa ni nini(KUTETEA WATOTO MASKINI 1st WALIOSHINDWA KUENDELEA NA MASOMO KWASABABU YA "NO LOAN" wakati mke wa LIZIWAN KIKWETE akiwa na 100% UDOM) mgomo ulikuwa wa amani kabisa sema ndo vile
 
sad newz...
utawala wa chuo umefanya maamuz ya kutisha!!!!
1.wanafunz 8 waliokuwa-suspended wamefukuzwa chuo kabisa....
2.wanafunzi 35 wenye kesi mahakamani wamefukuzwa chuo kabisa...
3.wanafunz waliofukuzwa chuo kutodahiliwa chuo chochote cha umma na kunyimwa mkopo maishan mwao mwote....
4.maeneo muhimu ya chuo kama vile cafeteria,lecture rooms,library nk kulindwa na polisi.....
je tutafika???????
Ningekuwa na uwezo ningewapeleka vyuo binafsi na kuwalipia, ninaamini wamefukuzwa kwasababu ya Fitna za CCM kwasababu walimzomea mwenyekiti wao siku alipoenda kujipendekeza kufanya harambee ili walau arudishe emage yake machoni mwa wasomi, JK hauziki jamani hata kwa bei ya jumla
 
Je wakigoma wote watawafukuza na chuo kufungwa? Ikiwa hivyo haitakuwa mara ya kwanza kwa UDSM! History has to repeat itself. It is high time that UDASA showed solidarity with the plight of the students; nao wagome tuone kama watawafukuza. vyuo vikuu vingine pia waoneshe mshikamano na wenzao kwa kuwaunga mkono na wao kuondoka toka vyuoni mwao. Tuone kama hii serikali iitasimama!
 
hakuna mtu anayeweza kufukuzwa chuo wewe kwa migomo,labda kama amekutwa anadesa kwenye test.
 
sad newz...
utawala wa chuo umefanya maamuz ya kutisha!!!!
1.wanafunz 8 waliokuwa-suspended wamefukuzwa chuo kabisa....
2.wanafunzi 35 wenye kesi mahakamani wamefukuzwa chuo kabisa...
3.wanafunz waliofukuzwa chuo kutodahiliwa chuo chochote cha umma na kunyimwa mkopo maishan mwao mwote....
4.maeneo muhimu ya chuo kama vile cafeteria,lecture rooms,library nk kulindwa na polisi.....
je tutafika???????

Sasa vipi plani yenu nyinyi.Maana ni habari sio nzuri.Je mmejipanga vipi kwa upande wenu kuwasaidia wenzenu kabla ya sisi wengine hatujaja kuwasidia?
 
walichokuwa wanakitafuta sasa wamekipata, hivi udsm hamuwezi kukaa na uongozi mkazungumza...?? kwa nini ninyi kama wasomi mumekaRiRishwa njia moja tu ya kutatua matatizo yenu (yaani migomo)...?? hamjajifunza njia zingine za kutatua matatizo yenu..??basi njia mmoja wapo ni mazungumzo

waliofukuzwa chuo tunawakaribisha hapa kijijini kwetu BUSEGA tuendelee na kilimo kwanza, kumbukeni huu ni msimu wa mvua, karibuni sana...
Wewe unawakaribisha kijijini BUSEGA kwa ajili ya kilimo kwanza. Kwa kiwango chao cha Elimu kwa sasa wameshagundua KILIMO KWANZA ni feki, sasa wapo watakaokaribishwa na wahalifu (majambazi) baada ya ugumu wa maisha watakaokumbana nao mtaani.
Tujiulize kwa kiwango chao cha elimu na chuki waliyonayo kwa waliyotendewa, ujambazi wao wataufanya Tandale,Mbagala au Manzese kwa walala hoi wenzao? Watawala wetu wa sasa wanahatarisha maisha yao huko Mikocheni, Osterbay na kwingineko kwa kujitengenezea bomu la baadae. Chuki za vijana hawa hazitaishia kwa watu wa chini maana wanajua walio waharibia maisha yao sio hao ila wale wanaopeleka watoto wao ng'ambo kusoma na hata wakisoma hapa nchini hawababaishwi na fedha za mikopo maana wana za EPA na za deal mbalimbali katika serikali na mashirika ya umma yaani ufisadi ndio jadi yao.
 
Ningekuwa na uwezo ningewapeleka vyuo binafsi na kuwalipia, ninaamini wamefukuzwa kwasababu ya Fitna za CCM kwasababu walimzomea mwenyekiti wao siku alipoenda kujipendekeza kufanya harambee ili walau arudishe emage yake machoni mwa wasomi, JK hauziki jamani hata kwa bei ya jumla

Hilo ndo jibu walilopewa kipindi wapo SEGEREA, wakidai mulizomea MKUU naametoa ANGALIZO hakuna kupewa mzamana.. nakuweka kiwango kikubwa sana cha PESA pale utakapotaka kutoa mzamana........ yale ya BABU SEYA yamefika ktk chuo kikuu cha taifa.. tunaelekea wapi jamaniiiiiiiiiiiiiiii
 
Hii lazima itakua UDSM.

Ila nafikiri nyinyi hamjui maana ya Kunji. yaani hamuwezi pata haki yenu bila Kunji ka maana.

Bravo Comrade bila Kunji la maana kama zile za 1990s hakuna kitakachoeleweka! Wako wapi akina Harun Kiamaro, Matiko Matare na Mutungirehi wa enzi hizi jamani!??!
 
Wewe unawakaribisha kijijini BUSEGA kwa ajili ya kilimo kwanza. Kwa kiwango chao cha Elimu kwa sasa wameshagundua KILIMO KWANZA ni feki, sasa wapo watakaokaribishwa na wahalifu (majambazi) baada ya ugumu wa maisha watakaokumbana nao mtaani.
Tujiulize kwa kiwango chao cha elimu na chuki waliyonayo kwa waliyotendewa, ujambazi wao wataufanya Tandale,Mbagala au Manzese kwa walala hoi wenzao? Watawala wetu wa sasa wanahatarisha maisha yao huko Mikocheni, Osterbay na kwingineko kwa kujitengenezea bomu la baadae. Chuki za vijana hawa hazitaishia kwa watu wa chini maana wanajua walio waharibia maisha yao sio hao ila wale wanaopeleka watoto wao ng'ambo kusoma na hata wakisoma hapa nchini hawababaishwi na fedha za mikopo maana wana za EPA na za deal mbalimbali katika serikali na mashirika ya umma yaani ufisadi ndio jadi yao.

Nimekugongea Like.

Hivi huu ukali wanaowafanyia hawa vijana wadogo, kwa nini wasiwafanyie yale mibaba iliyozeeka na kubakia kula wasipostahili? Awtu wanakamatwa laivu wakijichotea hela za umma lakini bado wanaendeshwa kwenye ma-STK na kupewa escort za polisi
 
sad newz...
utawala wa chuo umefanya maamuz ya kutisha!!!!
1.wanafunz 8 waliokuwa-suspended wamefukuzwa chuo kabisa....
2.wanafunzi 35 wenye kesi mahakamani wamefukuzwa chuo kabisa...
3.wanafunz waliofukuzwa chuo kutodahiliwa chuo chochote cha umma na kunyimwa mkopo maishan mwao mwote....
4.maeneo muhimu ya chuo kama vile cafeteria,lecture rooms,library nk kulindwa na polisi.....
je tutafika???????

Tutafika tu endapo tutafanya mabadiliko,UDSM yenyewe siku hizi inaendeshwa kisiasa inatakiwa kufanyiwa mabadiliko,ili kiwe chuo kikuu cha elimu na sio chuo kikuu cha siasa kama ilivyo hivi sasa.
 
Kwahyo mtakula huku mwalindwa na mitutu?hahahah
udsm!ELIM KWANZA
sad newz...
utawala wa chuo umefanya maamuz ya kutisha!!!!
1.wanafunz 8 waliokuwa-suspended wamefukuzwa chuo kabisa....
2.wanafunzi 35 wenye kesi mahakamani wamefukuzwa chuo kabisa...
3.wanafunz waliofukuzwa chuo kutodahiliwa chuo chochote cha umma na kunyimwa mkopo maishan mwao mwote....
4.maeneo muhimu ya chuo kama vile cafeteria,lecture rooms,library nk kulindwa na polisi.....
je tutafika???????
 
Mavi ya bataaa,nan atakaebadil mfumo?
Tutafika tu endapo tutafanya mabadiliko,UDSM yenyewe siku hizi inaendeshwa kisiasa inatakiwa kufanyiwa mabadiliko,ili kiwe chuo kikuu cha elimu na sio chuo kikuu cha siasa kama ilivyo hivi sasa.
 
Hata mie naona hapa jf panataka kuwa kama facebook,jana uzi wa kwanza ulikuwa wamekinukisha,baadaye nguvu ya umma imeshinda sasa hivi tena sad news!?!

leo nilivyosoma hii thread ya sad news ndo wamenichanganya zaidi.mliopo huko Udsm m2pe habari sahihi ni kati ya nguvu ya uma imeshinda au sad news?
 
Ndio Maana JKT Irudishwe vijana wafundwe mbinu za medani!! wananyanyswa kwa vile mbinu za madani hawana. They what they have to do. Poleni sana. Lakini haki zote itacheleweshwa bali itapatikana tuko pamoja wapiganaji!! wa USDM na haata wale wa Muhimbili.
 
Back
Top Bottom