Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 12,720
- 19,860
Hujawahi kukutana na mwanafunzi mwenye kipaji wewe. Vinginevyo mtazamo wako usingekua huu.
Mi namkubali special student sio kwa vile kachaguliwa shule ambazo wanadai eti za kipaji.UKIPAJI NI KUTHIHILIKA PALE UTAPO FANYA MAMBO YA KIPEKEE na lenye manufaa kwake,jamii na taifa kwa ujumla.Bora niseme ERIC SHIGONGO ni kipaji maalumu kwa maana kazi yake imeonekana.Mbona watu kibao wamesoma St.Kayumba ila wapo on fire mbaya.