Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,108
- 18,326
Jamani wale jamaa ni noma, sio wote lakini 40% yao ni vipaji. nilisoma mzumbe miaka hiyo, mwalimu ukitoka shule nyyingine mtihani wa kwanza lazima mia zipigwe kibao. kuna jamaa hata kusoma hawasomi lakini paper wanapiga kama kawaida. Hao wanao disco sio tatizo kwani mtu intellegent sio lazima afaulu kama unamlazimisha kufeli. na siku zote hawahitaji sana masaada wa mwalimu kujua mambo wao kitabu na akili zao zinatosha. Udsm mfumo si mzuri, wale wazee wanataka wabakie wao tuu pale mlimani, wanatakiwa kubadilika.
Lakini zle shule serikali lazima izirudishe kwani zilikuwa zinamotivate sana vijana. wewe ambae hujasoma special huji utamu wa special. umechelewa na haiwezekani tena, ni experience ya tofauti kusoma na vijana vipaji.