Lakini Nata utakubaliana na mimi kwamba mtu mwenye umri wa miaka 16 hawezi kufanya maamuzi, ni wadogo kisheria lakini ni watu wazima kibinadamu. Huyo mbaba akamatwe lakini hao watoto wakome kusema wamejifunza kupitia makosa kwani ni maneno ya kukopi.1.Hawa wanamiaka chini ya 18 ni watoto 2. Ni wanafunziHuyu baba akamatwe kwa kuwalaghai watoto na kuwatelekezaAshitakiwe kwa mujibu wa sheria za TZ
habari ya kazi bwana mwalimu? nitapataje hii kazi kwa pati taim?Hakuna watoto siku hizi kuna watu wazima wenzetu Mpwa
Swali, wazazi wao wako wapi?
nani amchukulie kama watunga sheria wanajimwaga na vitoto? Bongo ndo hiyo AD, maigizo mpaka kwenye sheria...
si ndio hapo? yaani mabinti hawajaonekana nyumbani kwa mwezi
mzima hao walezi (mjomba na dada) wametulia tu! au hao walezi
nao wameshjichokea na mwenendo wa hao mabinti hivyo hawajali tena?
habari ya kazi bwana mwalimu? nitapataje hii kazi kwa pati taim?
makubwa madogo yana nafuu polenisana hichi ndo kiherehere cha kuja mjini..
makubwa madogo yana nafuu polenisana hichi ndo kiherehere cha kuja mjini..
Inasikitisha sana! But funny enough kama wanaweza kuchangia hela ya chakula kwa nini hiyo hela wasingefanye ni nauli? kama mwamndishi wa habari hizi asingewagundua wangekaa kimya hadi lini? Na watapokelewa tena shuleni kweli?
Cha kufanya, Serikali iingilie kati kuwakomboa hawa mabinti na kuwarudisha Arusha chini ya police escort!
kwa hiyo uachosema ni kila mtu na mzigo wake wa dhambi..
dahhh tumekwisha kwa kweli ...
kama mafataki wanaachiwa hivi hivi....
hii balaa sasa