Wanafunzi Wasagana Mabwenini, Shule Yafungwa

Na inasemekana akishaanza hako kamchezo, hata akipata dume haridhiki. sijui kuna utaalamu gani wanatumia.
 
Wangewapeleka akina mkaa mweupe,Fighter na wengine mambo yangekuwa shwari kabisaaa!
 
Na inasemekana akishaanza hako kamchezo, hata akipata dume haridhiki. sijui kuna utaalamu gani wanatumia.
Hata shoga au basha anakua hana hamu ya jike tena. Binadamu wana hisia, ukishautune ubongo kuwa mwanamme mwezio ni mzuri kwa physical contact, message inatumwa kwenye mwili hivyo utamwona mwanamke kama kiumbe tu.

Malezi ni muhimu sana. Jinsi unavyomsaidia mtoto wa kiume au wa kike kujitambua jinsia yake na role yake kwenye jamii inamsaidia polepole kuondoa wazo kuwa ngono ya watu wa jinsia moja ni kitu cha kawaida. Hata kama hilo wazo litamjia au akisikia kwa wenzake au kwenye media akili inarudi kulekule kwenye malezi yake kuwa yeye ni mwanaume kwa hiyo haiwezekani.
 
Kumbe SA,mi nilifikiri hapa Bongo.Afadhali kama sio hapa kwetu.

Waswahili walisema, "mwenzako akinyolewa, zako tia maji"

Hapa point sio kwamba ishu imetokea SA basi Bongo kwema, point ni kwamba tujiandae kudeal na mambo kama haya. Sio ka Bongo ndo hatuna wasagaji, wapo wengi tu ila bado hawajitokeza in public kihivyo. These are some of the cultural shocks we'll face soon, or rather we have already started facing. What do we do? How do we treat such people? Are they any less human than us? What gets us so agitated when we hear about them? Should be the questions we're pondering on right now.
 
Hata zamani mambo hayo yalikuwapo ila habari hazikuwa na nafasi ya kusambaa haraka kama siku hizi. Sasa hivi technology imekua kiasi kwamba dunia ni kama kakijiji. Kitu kinatokea kijiji fulani unapata maelezo sekunde iyohiyo. Wachuna ngozi walikuwapo, wachawi walikuwapo, maalbino walikuwa wanapotea hovyo lakini habari zilikuwa naturally contained. Mashoga walikuwapo lakini ilikuwa sio rahisi kujua.

Leo kuna TV na video watoto wanakutana na vitu vipya tofauti na zamani ambapo watu walingojea kujifunza mambo hayo jandoni tu. Sasa hata jando ni formert tu, kwani wanaofunzwa wengi wanayajua mambo kuliko wanaowafundisha.

Wanyama hawana hulka ya kumega kwa ajili ya starehe. Wao hujamiiana kwa kusudi la kuzaana na kuongezeka. Binadamu amepewa ufahamu kuliko wanyama, kujamiiana analichukulia kama starehe na dawa ya kutuliza tension. Binadamu pia huwafunza wanyama wafanye yeye atakavyo, ndio maana wajerumani miaka ya 1980 mwishoni walimfanya mnyalukolo mmoja Kinondoni amegwe na mbwa wa mjerumani kule Mikocheni ili ajipatie dola 300, mbwa asingefikiriwa kumwingilia binadamu kwa hali ya kawaida, wala asingeshawishiwa kumtamani binadamu. Kadhalika binadamu mwanamke asingeshawishika kumvulia nguo mbwa, ingawa wanaume wengi wamesikika kumega mbuzi, kondoo, ng'ombe, lakini sio kinyume chake. Mara nyingi ushirikina husingiziwa kama sababu, lakini mwanaume anapozidiwa na asipate pa kumaliza hasira yake wengi huangukia mtego wa kuvamia mifugo kwa kuwa haikatai.
 
Yote hii ni malezi pungufu toka kwa wazazi! Wazazi hawako moraly tuned!


Si kweli....... baadhi ya wasagaji, wasagwaji, mabasha na mashoga ni watoto wa wachungaji na mashehe ambao ungedhani kuwa wako morally tuned, omba Mungu hili janga lisikaribie kwenye familia yenu.
 
Back
Top Bottom