Wanafunzi waliosoma China

Upanga

Senior Member
Jun 18, 2007
145
50
Habari za siku!!Napenda kuwaarifu wanafunzi wote waliowahi kusoma China kuanzia Bachelor na Kuendelea,kuna Association ipo katika Mchakato wa kuanziashwa.Vikao vimeshaanza na tutakutana tena
Pale Beijing Restaurant karibu na AAR Office along Alli Hassan Mwinyi.
Wote Mnakaribishwa
 
Mkuu, hamisha trd hii kwenda inakohusika.
 
mi mina jamaa yangu aliwahi kupiga kitabu huko lakini nashindwa kumpasha habari kwani tangazo lenyewe halieleweki.... unasemawaliosoma au wanaosoma? nijuavyo mimi, wanafunzi maana yake bado wanasoma..... halafu tarehe, mwezi mwaka, saa, nk. vyote hakuna
 
好了 知道了。。。。。

[FONT=宋体]那太好了谢谢你啊!thetowerofbabel [FONT=宋体]你有中文名字吗?
[FONT=宋体]因为你的名字太难了 teh teh.[/FONT]
[/FONT][/FONT]
 
mi mina jamaa yangu aliwahi kupiga kitabu huko lakini nashindwa kumpasha habari kwani tangazo lenyewe halieleweki.... unasemawaliosoma au wanaosoma? nijuavyo mimi, wanafunzi maana yake bado wanasoma..... halafu tarehe, mwezi mwaka, saa, nk. vyote hakuna
Aksante kwa kutaka kufahamishwa:
Hii inahusu wale ambao walikwisha soma China kuanzia Bachelor Degree na kuendelea mwaka wowote ule.
Kikao kinachafuata kitafanyika tarehe 15 August saa tano asubuhi, pale Beijing Restaurant.Hii Restaurant ipo karibu na AAR Njia ya Ali Hassan Mwinyi.
Kwa wale ambao bado wako Vyuoni nao wanakaribishwa kama wasikilizaji na watakuwa wanachama rasmi pale watakapo maliza masomo yao.
Aksnate.
 
Hi, im luking for fluent chinese speaker, preferably who did a degree in business related subjects to be recruited in a bank as an intern first and if impresses the management may be hired on permanent basis..mail me your cv at fahad.soud.hamid@gmail.com......

Back
Top Bottom