Wanafunzi WakiTanzania Russia-Msaada

Huruma inakujakuja kwa mbali ila nawaza tu hivi hii bodi ya mikopo ina matatizo gani? f*** them, iliundwa ili iweje kama haiwezi perform?haiwasaidii wanafunzi zaidi ya kuwaumiza,hata kama wanategemea fedha toka hazina wangekuwa wamejiweka vizuri kiutendaji wanafunzi wasingegoma, kuna siku niliona madogo wawili wametoka Mwanza kuja kufuatilia madai yao physically nikawaonea huruma sasa hao toka Moscow sijui inakuwa vipi,hivi hao wa Moscow nao wanalipwa 5000 kwa siku?si wataishia kula bubblish tu kwa siku,dah huruma!!! halafu wakipata vitengo wakaja kuwa mafisadi,wezi na wala rushwa mtawalaumu? watakuwa wanacompasate maumivu ya leo, serikali yetu haiko serious at ol hasa waziri na wizara yenye dhamana,VIAZI VITUPU
 
Back
Top Bottom