Wanafunzi wa zaidi 1000 vyuo vikuu wajiunga na CCM

Tatizo liko wapi, na mimi nimetumia fursa hiyohiyo inayotolewa na JF kuihoji JF. Kwanini isihojiwe? Kuna ubaya au imewekewa kinga?
Hayo masharti yaliyowekwa hayahusiani na hoja yangu, lakini hata kama ndiyo hivyo hayo masharti siyo msahafu, yanaweza kubadilishwa wakati wowote.

At one time unapondea JF, mara unasema unatumia uhuru wako uliopewa hapa JF! grrrrrr, watu wengine bwana kwa unafiki!
 
Kama kuna unafiki wewe unafanya nini hapa? au wewe ndio mnafiki-in-chief? Toa pumba zako hapa za kupondea JF kama huna kazi ya kufanya nenda kaanzishe website yako uiite:

websiteyawanafikiwanaoichukiaJFnakuipondeakilamara.co.kuzimu


ABUSERS ARE LOSERS!
 
Siendi popote, tutabanana humuhumu mpaka kieleweke. Nitapasha kadri ya uhuru wangu ndani JF unavyoniruhusu. Kama JF ina unafiki nisiseme? Kuna unafiki!!!

utabanana na nani? mnafiki wewe! zaidi sana nakuona tayari uko:

unafikiumenishindakwahiyonarudiJFkulialiakamamtoto.co.gosh
 
Sisi emu wana mbinu zote za kupambana maana sasa hivi wemekuja na sera ya kuandaa makada kuanzia nasary school. Hii ni sawa na mtoto unazaliwa kwenye familia unabatizwa ukiwa mdogo. Kama mtoto anaanza kuwa muumini wa CCM kuanzia chekechea mnategemea inakuwa je? Inamaanisha CCM inamizizi mirefu nakumbuka zamani kulikuwa na mabalozi wa nyumba kumi na juu ya nyumba yake kunabendera ya CCM. Kama kweli CCM watarecruit vijana kuanzia chekechea kuwa makada hapo mimi nitawalaumu lakini kama hawa wanafunzi wa vyuo ni watu wazima, wasomi na akili zao kama wameamua kujiunga na CCM ni wametumia haki yao ya msingi.

I am sure wangekuwa wanafunzi 200 wamejiunga na Upinzani hapa ingekuwa na hadith nyingine kabisa na kuwasifia kuwa sasa watu wamepata uelewa. Sidhani kama waliambiwa usipo jiunga na CCM hupati mkopo maana Mkopo sio mali ya CCM.

Huo mkakati mwisho wa reli.
Yaani wanaanda akina Karamagi toka chekechea?
Danganyika imekwisha!
Tutaponea wapi sie akina "anonymous"?
 
Moderators & JF members,

Hii thread ni ya mwaka 2007,11 years ago wakati wa utawala wa JK...!!Nini mantiki ya kufufua uzi kama huu?
Inakuwaje thread inaendelezwa upya kama jambo limefanyia leo au jana??Je, hizi ni zile kampeni za CCM za kutaka kuwazubaisha Watanzania kuwafanya waishi kwa matukio? Tuache hizi kampeni za kijinga. Tunataka current news siyo kuleta habari na poroja za mwaka 47 hapa. I am really sorry!!
 
Aidha wanafunzi hao kwa ujumla wao wamempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa ushindi mnono alioupata katika Uchaguzi Mkuu wa CCM, na kwamba ushindi wake huo ni kielelezo cha namna gani anavyokubalika mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu na kubwa zaidi ni kwamba wana imani naye.
Mbona kawaida tu c hata mr.edo kasema hayohayo wimbo wetu huo
 
Daah nimekumbuka ishu ya kuuza vocha za simu mambo ya mobile banking yalikuwa hayapo
 
Back
Top Bottom